[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] dictionary pleaseMkuu hicho "kimalkia" hapo kati kmeniacha kando kdogo .... kiasi cjakupata fresh
Huwa pana dk. za mapumziko kama mechi yachezwa ..... but pia pana cku za mapumziko ambapo hakuna mechi yoyote uwanjani ....Msema kweli mpenzi wa Mungu mie ni tatizo kwangu maana siwez kupitisha siku bila mshikemshike uwanjani labda pawe n.a. dharura
Wanawake mnatusingizia sana jamani.Out of site=Out of mind. Hii ni kanuni inayo operate sanaa kwenye mahusiso hasa kwa wanawake.
ndo dharura hixoHuwa pana dk. za mapumziko kama mechi yachezwa ..... but pia pana cku za mapumziko ambapo hakuna mechi yoyote uwanjani ....
Naona joycefull hizo cku za mapumziko hazimuhusu aseeee
" Mtu kama kicheche hata ungekuwa unambeba mgongoni bado angekusaliti tu ..." nmeipenda hiyoMtu kama kicheche hata ungekua unambeba mgongon bado angekusaliti tu,so distance sio kigezo cha mahusiano kufa au kutokufa.
Nimekaa na mtu kwenye mahusiano miaka ka mitano na robo tatu ya maisha yetu ilikua ni distance r'ship,lakini tumekuja kutibuana juzi kati kwa sababu ingne kabisa ambayo haihusiani na distance tena chanzo kikiwa ni mimi mwenyewe kuzingua.