Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Msema kweli mpenzi wa Mungu mie ni tatizo kwangu maana siwez kupitisha siku bila mshikemshike uwanjani labda pawe n.a. dharura
 
yeah ina impact especially in terms of connecting and bonding deeper..otherwise haibadilishi tabia ya mtu kama muhuni muhuni tuu,..hata akiwa kama mkia kwako atachepuka tuu
 
Umbali kwa mwanaume sio shida sana maana hata kama utakuwa na watu wengine ila ni kwa kupooza hisia tu huku mahesabu yako yakiwa huko mbali lakini mtoto wa kike akishamvulia mtu mwingine nguo bhasi ana mfungulia hadi moyo... hii ndio hali halisi

Uaminifu ndio mtihani haswaa ila mapenzi kuendelea ni kawaida hata kama mtu ni muaminifu kiasilia..
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu mie ni tatizo kwangu maana siwez kupitisha siku bila mshikemshike uwanjani labda pawe n.a. dharura
Huwa pana dk. za mapumziko kama mechi yachezwa ..... but pia pana cku za mapumziko ambapo hakuna mechi yoyote uwanjani ....

Naona joycefull hizo cku za mapumziko hazimuhusu aseeee
 
Tena mie napenda sana mpenzi wangu awe mbali mana uwa najisikia nina mapenzi nae kila siku! .
Absence makes someone grows fonder [emoji118] kausemi hako kwa wale wataalamu wa lugha ya "malkia"
 
mbona kilasiku humu watu wanaachana tena ambao wanaishi nyumba moja?Ndoa za umbali kama mnavyosema zimevunjika 2 kati ya 100 lakini hizi za kukaa zizi moja duu mara ohh dushe lake kibamia,mara ohh ananifuata mpaka kazini mara ohh flora mbasha kaachwa mara ohh kanumba na lulu sababu ya umbali ni visingizio tu OVA
 
Mtu kama kicheche hata ungekua unambeba mgongon bado angekusaliti tu,so distance sio kigezo cha mahusiano kufa au kutokufa.
Nimekaa na mtu kwenye mahusiano miaka ka mitano na robo tatu ya maisha yetu ilikua ni distance r'ship,lakini tumekuja kutibuana juzi kati kwa sababu ingne kabisa ambayo haihusiani na distance tena chanzo kikiwa ni mimi mwenyewe kuzingua.
 
Ni kikwazo kwa sababu mahitaji ya mwili yako pale pale. Hayaangalii umbali.
 
Kikwazo cha mapenzi ya mbali ni kutokana na msingi wa mapenzi yenu.....

Kama mapenzi yenu....mliyajenga katika misingi ya kukutana kimwili kila dakika kama kuku....hapo lazima itakuwa ni tatizo.....

Lakini kama mliyajenga mapenzi yenu....katika misingi ya upendo kutoka moyoni....na ngono ni matokeo ya uzito wa huba mioyoni mwenu....haiwezi kuwa tatizo.....

Kwani daima wale tuwapendao na kuwathamini...siku zote wanaishi ndani yetu.....
 
Mtu kama kicheche hata ungekua unambeba mgongon bado angekusaliti tu,so distance sio kigezo cha mahusiano kufa au kutokufa.
Nimekaa na mtu kwenye mahusiano miaka ka mitano na robo tatu ya maisha yetu ilikua ni distance r'ship,lakini tumekuja kutibuana juzi kati kwa sababu ingne kabisa ambayo haihusiani na distance tena chanzo kikiwa ni mimi mwenyewe kuzingua.
" Mtu kama kicheche hata ungekuwa unambeba mgongoni bado angekusaliti tu ..." nmeipenda hiyo
 
Back
Top Bottom