ulizingua nini mkuu....Mtu kama kicheche hata ungekua unambeba mgongon bado angekusaliti tu,so distance sio kigezo cha mahusiano kufa au kutokufa.
Nimekaa na mtu kwenye mahusiano miaka ka mitano na robo tatu ya maisha yetu ilikua ni distance r'ship,lakini tumekuja kutibuana juzi kati kwa sababu ingne kabisa ambayo haihusiani na distance tena chanzo kikiwa ni mimi mwenyewe kuzingua.
Asante.DISTANCE MAKES THE HEART GROW FONDER.
NB: ukishindwa tumia condom.
Yah especially wanaume uvumilivu ni mdogop,mwanamke jichanganye sijui unaenda kusoma nje Hehehe huku mwenzio anakitembezaMamii waongea kwa uzoefu ama ....
Pole sana aisee!!! Hebu nipe maujuzi mliishije katika hyo long distanceMtu kama kicheche hata ungekua unambeba mgongon bado angekusaliti tu,so distance sio kigezo cha mahusiano kufa au kutokufa.
Nimekaa na mtu kwenye mahusiano miaka ka mitano na robo tatu ya maisha yetu ilikua ni distance r'ship,lakini tumekuja kutibuana juzi kati kwa sababu ingne kabisa ambayo haihusiani na distance tena chanzo kikiwa ni mimi mwenyewe kuzingua.
some facts disagree
Wenye uzoefu fungukeni ili nasi pia tujifunze
Ni kweli hamfanani ila wengi wenu mhhhLady umewaweka wanaume wote kwenye furushi 1 ..... hatufanani mamii