Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Mtu kama kicheche hata ungekua unambeba mgongon bado angekusaliti tu,so distance sio kigezo cha mahusiano kufa au kutokufa.
Nimekaa na mtu kwenye mahusiano miaka ka mitano na robo tatu ya maisha yetu ilikua ni distance r'ship,lakini tumekuja kutibuana juzi kati kwa sababu ingne kabisa ambayo haihusiani na distance tena chanzo kikiwa ni mimi mwenyewe kuzingua.
ulizingua nini mkuu....

comment yako nimeipenda thoo
 
Hii ni theory, practically kuchepuka kunahusuu...
 
Michepuko lazma, wengi hukosa uvumilivu hasa kwa w' ume Mara nyingi huwapita kushoto. Hawez akakaa miez mitatu au sita anakusubir ww tu mkutane. Ni shidaaaa
 
Yah especially wanaume uvumilivu ni mdogop,mwanamke jichanganye sijui unaenda kusoma nje Hehehe huku mwenzio anakitembeza
Wanawake wengi wavumilivu sana
Lady umewaweka wanaume wote kwenye furushi 1 ..... hatufanani mamii
 
Mtu kama kicheche hata ungekua unambeba mgongon bado angekusaliti tu,so distance sio kigezo cha mahusiano kufa au kutokufa.
Nimekaa na mtu kwenye mahusiano miaka ka mitano na robo tatu ya maisha yetu ilikua ni distance r'ship,lakini tumekuja kutibuana juzi kati kwa sababu ingne kabisa ambayo haihusiani na distance tena chanzo kikiwa ni mimi mwenyewe kuzingua.
Pole sana aisee!!! Hebu nipe maujuzi mliishije katika hyo long distance
 
379d428c43c17158fadc0e0db179e37a.jpg

Wenye uzoefu fungukeni ili nasi pia tujifunze
some facts disagree
 
Ni kweli hamfanani ila wengi wenu mhhh
Hao weng uwasemao, kama ni sirika zao basi hakuna jinsi ..... hata "scriptures" imeelezea ilivyo vigumu kuibadilisha "rangi" (ngozi) ya Mkushi ...
 
Back
Top Bottom