Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

ni ngumu sanaa ila mawasiliano ndio nguzo pekee na kuaminiana! inawezekana tena sanaa tu, kuchepuka ni hulka ya mtu hata muwe karibu!
 
ni ngumu sanaa ila mawasiliano ndio nguzo pekee na kuaminiana! inawezekana tena sanaa tu, kuchepuka ni hulka ya mtu hata muwe karibu!
Kwakweli mawasiliano ndio kila kitu, kama hayapo vizuri basi ni rahisi kumkaribisha bwana ibilisi.
 
Kwakweli ni kikwazo!!
Lakini kwa ninavyompenda acha tu nikitulize.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] congrats kwa kukituliza [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3]
 
Upweke mwingii
Ni kweli "loneliness" ni tatizo kwa wengi .... but ni issue ambayo ni "unavoidable"

Fikiria uko "married" na inaibuka "opportunity" ya ww ama hubby wako kwenda kusoma ng'ambo ama mkoa wa mbali .... na ni hatua muhimu kwa ajili ya future yenu, utafanyaje?
 
Bora hata mmefunga ndoa unajua kabisa ni wako milele,,,lakin uboyfriend tu ngumu kidogo,,halaf ndio anaenda kwa muda sio anaenda jumla na kuwa anarudi likizo tu halaf anarudi tena ng'ambo
 
Sijui kama distance ni kikwazo sema ina changamoto zake nyingi sana na kubwa ni upweke kati ya wapenzi hao.

Kwa watu wenye mapenzi ya dhati na wanaojitambua sizani kama distance ni kikwazo hususan kwa nyakati hizi za teknolojia.
Yeah![emoji7] [emoji7]
 
Bora hata mmefunga ndoa unajua kabisa ni wako milele,,,lakin uboyfriend tu ngumu kidogo,,halaf ndio anaenda kwa muda sio anaenda jumla na kuwa anarudi likizo tu halaf anarudi tena ng'ambo
Si bora huyo b/f akiharibu bado una fursa ya kuangaza mtaa wa pili ..... but mume ktk zile pingu afu ndoa ambazo talaka hairuhusiwi ..... duuuu akiharibu ( kukosa subira, uaminifu nk ) yanakuwa majanga kweli
 
hakuna kikwazo cha msingi ni mawasiliano na malengo yenu ni yapi full stop , ishu ya kucheat mtu unaeza kuwa nae jirani akacheat tu so ni tabia ya mtu mwenyewe
 
Hata so distance pekee!

Kuachishwa kazi?
Magonjwa?
Issues kibao!

Kuna wale wale watakaojiondoa kwenye picha hiyo kimpango. This isn't love! No two ways about this: Daylight robbery. Utasikia wanataka kurudi ukifanikiwa baada ya muda...


Though kuna wale watakaosema "I love this person, na ride or die, simwachi!" This is love!
It's not easy but it can and is being done through kindness, patience, commitment, communication, etc etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…