cheupe dawa
Senior Member
- Apr 3, 2016
- 172
- 131
ni ngumu sanaa ila mawasiliano ndio nguzo pekee na kuaminiana! inawezekana tena sanaa tu, kuchepuka ni hulka ya mtu hata muwe karibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli mawasiliano ndio kila kitu, kama hayapo vizuri basi ni rahisi kumkaribisha bwana ibilisi.ni ngumu sanaa ila mawasiliano ndio nguzo pekee na kuaminiana! inawezekana tena sanaa tu, kuchepuka ni hulka ya mtu hata muwe karibu!
Mi nko kwenye hili kundi,uaminifu upo ila wasiwasi pia upo wa hali ya juu saana...uvumilvu muhmu!!![]()
Wenye uzoefu fungukeni ili nasi pia tujifunze
Mmmmh umejuajeNi kikwazo kikubwa sana!
![]()
Wenye uzoefu fungukeni ili nasi pia tujifunze
Upweke mwingiiFunguka mamiii .... how?
Ni kweli "loneliness" ni tatizo kwa wengi .... but ni issue ambayo ni "unavoidable"Upweke mwingii
Bora hata mmefunga ndoa unajua kabisa ni wako milele,,,lakin uboyfriend tu ngumu kidogo,,halaf ndio anaenda kwa muda sio anaenda jumla na kuwa anarudi likizo tu halaf anarudi tena ng'amboNi kweli "loneliness" ni tatizo kwa wengi .... but ni issue ambayo ni "unavoidable"
Fikiria uko "married" na inaibuka "opportunity" ya ww ama hubby wako kwenda kusoma ng'ambo ama mkoa wa mbali .... na ni hatua muhimu kwa ajili ya future yenu, utafanyaje?
Yeah![emoji7] [emoji7]Sijui kama distance ni kikwazo sema ina changamoto zake nyingi sana na kubwa ni upweke kati ya wapenzi hao.
Kwa watu wenye mapenzi ya dhati na wanaojitambua sizani kama distance ni kikwazo hususan kwa nyakati hizi za teknolojia.
Si bora huyo b/f akiharibu bado una fursa ya kuangaza mtaa wa pili ..... but mume ktk zile pingu afu ndoa ambazo talaka hairuhusiwi ..... duuuu akiharibu ( kukosa subira, uaminifu nk ) yanakuwa majanga kweliBora hata mmefunga ndoa unajua kabisa ni wako milele,,,lakin uboyfriend tu ngumu kidogo,,halaf ndio anaenda kwa muda sio anaenda jumla na kuwa anarudi likizo tu halaf anarudi tena ng'ambo