Nimependa hayo maneno ya mwishoni [emoji117] kindness, patience, commitment & communication ..... congratsHata so distance pekee!
Kuachishwa kazi?
Magonjwa?
Issues kibao!
Kuna wale wale watakaojiondoa kwenye picha hiyo kimpango. This isn't love! No two ways about this: Daylight robbery. Utasikia wanataka kurudi ukifanikiwa baada ya muda...
Though kuna wale watakaosema "I love this person, na ride or die, simwachi!" This is love!
It's not easy but it can and is being done through kindness, patience, commitment, communication, etc etc
Sijui kama distance ni kikwazo sema ina changamoto zake nyingi sana na kubwa ni upweke kati ya wapenzi hao.
Kwa watu wenye mapenzi ya dhati na wanaojitambua sizani kama distance ni kikwazo hususan kwa nyakati hizi za teknolojia.
It is true, long distance relationship kama imejengwa kwa mapenzi ya dhati it works. Huwa nahisi kama yuko karibu na mimi all the time ingawa yuko majuu. Ingawa tulikuwa best friend for 10 years bila kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Na siku zote hizo tulikuwa tutaongea kutwa mara mbili.Kikwazo cha mapenzi ya mbali ni kutokana na msingi wa mapenzi yenu.....
Kama mapenzi yenu....mliyajenga katika misingi ya kukutana kimwili kila dakika kama kuku....hapo lazima itakuwa ni tatizo.....
Lakini kama mliyajenga mapenzi yenu....katika misingi ya upendo kutoka moyoni....na ngono ni matokeo ya uzito wa huba mioyoni mwenu....haiwezi kuwa tatizo.....
Kwani daima wale tuwapendao na kuwathamini...siku zote wanaishi ndani yetu.....
Asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo
Nimependa hayo maneno ya mwishoni [emoji117] kindness, patience, commitment & communication ..... congrats
Kwa hiyo avatar tu hamtambui huyo aliyemtajaAvatar yako na maombi vitu viwil tofaut