Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Hata so distance pekee!

Kuachishwa kazi?
Magonjwa?
Issues kibao!

Kuna wale wale watakaojiondoa kwenye picha hiyo kimpango. This isn't love! No two ways about this: Daylight robbery. Utasikia wanataka kurudi ukifanikiwa baada ya muda...


Though kuna wale watakaosema "I love this person, na ride or die, simwachi!" This is love!
It's not easy but it can and is being done through kindness, patience, commitment, communication, etc etc
Nimependa hayo maneno ya mwishoni [emoji117] kindness, patience, commitment & communication ..... congrats
 
Sijui kama distance ni kikwazo sema ina changamoto zake nyingi sana na kubwa ni upweke kati ya wapenzi hao.

Kwa watu wenye mapenzi ya dhati na wanaojitambua sizani kama distance ni kikwazo hususan kwa nyakati hizi za teknolojia.

Ni kweli kuna changamoto lakini if you know what you want inakuwa sio shida. Mimi nina long distance relationship but niko comfortable kuliko Niliyokuwa nayo ya karibu. Technology ina-facilitate communication.
 
Kikwazo cha mapenzi ya mbali ni kutokana na msingi wa mapenzi yenu.....

Kama mapenzi yenu....mliyajenga katika misingi ya kukutana kimwili kila dakika kama kuku....hapo lazima itakuwa ni tatizo.....

Lakini kama mliyajenga mapenzi yenu....katika misingi ya upendo kutoka moyoni....na ngono ni matokeo ya uzito wa huba mioyoni mwenu....haiwezi kuwa tatizo.....

Kwani daima wale tuwapendao na kuwathamini...siku zote wanaishi ndani yetu.....
It is true, long distance relationship kama imejengwa kwa mapenzi ya dhati it works. Huwa nahisi kama yuko karibu na mimi all the time ingawa yuko majuu. Ingawa tulikuwa best friend for 10 years bila kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Na siku zote hizo tulikuwa tutaongea kutwa mara mbili.

So far it is the best relationship for me.
 
Cjui macho yameona nini ?
‪+254 736 708763‬ 20170302_065519.jpeg
 
Hata mkibanana kama ndizi.mchepuko ni nature yetu vidume.Hapo muumba aliona mbali sana
 
Sio kweli. Distance ni kikwazo kikubwa sana ktk mapenzi.
 
Inategemea na uwezo wa mtu!
Mtu mwenye wivu sana au anapenda sana attention au ambae anapenda malavidavi long distance relationship itamshinda. Unatakiwa uwe nunda wa hali ya juu kuongea na mpenzi kwenye simu miezi na miezi, ukipata hamu ya tendo uvumilie mpaka mtakapokutana!!! Inahitaji moyo na upendo wa kweli, pia uwe bize sana huko ulipo.
 
Back
Top Bottom