[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti miafrika!!!Labda wazungu. Sisi miafrika ni shida tupu mkiwa mbali hii ni kwa wote mwanaume na mwanamke
Hapo kwenye kuvumilia hamu ijapo ndo panakuwa mtihani kwa wengi hapoInategemea na uwezo wa mtu!
Mtu mwenye wivu sana au anapenda sana attention au ambae anapenda malavidavi long distance relationship itamshinda. Unatakiwa uwe nunda wa hali ya juu kuongea na mpenzi kwenye simu miezi na miezi, ukipata hamu ya tendo uvumilie mpaka mtakapokutana!!! Inahitaji moyo na upendo wa kweli, pia uwe bize sana huko ulipo.
Hii kitu ilishanitokea nilienda kufanyakazi mkoa mwingine niliporudi kusalimia nikakuta mwana sio wangu tenaKweli!?
Hmm!
Labda unijuvye....
Yanga ikienda kucheza tournament tuseme Kenya au hata South Africa, mafans huiacha na kushabikia Simba?
Hii kitu ilishanitokea nilienda kufanyakazi mkoa mwingine niliporudi kusalimia nikakuta mwana sio wangu tena
Nasema hivi hakuna mapenzi ya mbali.full stop.Inayoonekana nyeusi kwako kwa mwenzio ni dark blue .... ndivyo maisha yalivyo bwashee
Najua kuna MTU ambae upo naye kwa sasa yupo mbali.IPO siku utakuja kukumbuka maneno yangu.Mkuu mtazamo wako usiwe wa kila mmoja .... mbona kwa wengine imewezekana?
By the way sipo kwa maana ya mashindano ... naheshimu kile unachoamini