Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Emotionally kuna kitu kinapungua hasa hasa kama hamjaoana. Hili nimelishuhudia mwenyewe.
 
Emotionally kuna kitu kinapungua hasa hasa kama hamjaoana. Hili nimelishuhudia mwenyewe.
Though experience is a good teacher .... it's not applicable in the same degree to all people
 
Inategemea na uwezo wa mtu!
Mtu mwenye wivu sana au anapenda sana attention au ambae anapenda malavidavi long distance relationship itamshinda. Unatakiwa uwe nunda wa hali ya juu kuongea na mpenzi kwenye simu miezi na miezi, ukipata hamu ya tendo uvumilie mpaka mtakapokutana!!! Inahitaji moyo na upendo wa kweli, pia uwe bize sana huko ulipo.
Hapo kwenye kuvumilia hamu ijapo ndo panakuwa mtihani kwa wengi hapo
 
‪+257 72 00 15 50‬ 20170306_121826.jpeg
 
Mi Nina uzoefu. Naishi mkoa tofauti na Familia yangu. Sema kila mwezi angalau Mara mbili hivi lazima niwatembelee. Wanawake huku hawanisumbui maana muda mwingi nasubiria siku ya kwenda home kukutana na Malkia
 
Kweli!?
Hmm!
Labda unijuvye....

Yanga ikienda kucheza tournament tuseme Kenya au hata South Africa, mafans huiacha na kushabikia Simba?
Hii kitu ilishanitokea nilienda kufanyakazi mkoa mwingine niliporudi kusalimia nikakuta mwana sio wangu tena
 
Huwezi ukajifunza kupitia moyo wa mtu kila mtu anao wake
Kama mm hapa naweza huenda ww hutoweza
 
Tatizo watu wanawaza ngono,ni ngono 24 hrs ngono,nina almost 16-yrs ni mtu wa field sioni kama ni tatizo at all. Pia kumbuka kwamba mapenzi ni kitovu cha uzembe......finish see you at Bashite hrs...
 
Nasema hivi hakuna mapenzi ya mbali.full stop.
02e653abccd9685923c28060842579c5.jpg
Mkuu mtazamo wako usiwe wa kila mmoja .... mbona kwa wengine imewezekana?

By the way sipo kwa maana ya mashindano ... naheshimu kile unachoamini
 
Mkuu mtazamo wako usiwe wa kila mmoja .... mbona kwa wengine imewezekana?

By the way sipo kwa maana ya mashindano ... naheshimu kile unachoamini
Najua kuna MTU ambae upo naye kwa sasa yupo mbali.IPO siku utakuja kukumbuka maneno yangu.
 
Back
Top Bottom