ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 674
Uaminifu unapungua, mfano sisi wanaume wengi hatuwesi kukaa muda mrefu bila kusex, sasa ukikutana na mwanamke mwingine "MKALI" ni rahisi kusaliti mahusiano, kwa wanawake mara nyingi wakikosa kampani (physically) ni rahisi sana kudanganyika na kuchukuliwa na wengine, kuna kipindi unaweza pata demu mzuri mpk ukajishangaa kakupendea nn sometimes ni sababu jamaa yake yuko mbali........Hebu funguka ... kivp ni kikwazo mkuu?
Tegemea na tabia zenu.. Na pia fimbo ya mbali...