Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

Dunia haizunguki, na kama inazunguka usafiri wa anga usingewezekana
HII IMEKAA VIBAYA KUTHIBITISHA! ILI TUAMINI KUWA DUNIA INAZUNGUKA KWENYE ORBIT TUNAHITAJI MAENDELEO MAKUBWA YA TECHNOLOGY.SWALI INASEMEKANA KUWA KUNA VITUO VYA UTAFITI VYA NASA KWENYE SPACE!JE WAMEWAHI KUIPIGA DUNIA PICHA YA VIDEO TUIONE INAVYOZUNGUKA JUA KWA KASI KAMA SIVYO KWANINI TUAMINI BASI KUWA DUNIA INAZUNGUKA JUA?
 
WAKUU MIMI NINA SWALI JE SAYARI NYINGINE NAZO ZINA ROTATION (yaani kujizungusha zenyewe kwenye mihimili) WADAU HAPA WANAELEZA KUWA SPACE HAIRUHUSU OBJECT YOYOTE KUWA STATIONARY YAANI KUTULIA SEHEMU MOJA. JE NI NGUVU GANI NI CHANZO CHA ROTATION YA DUNIA YETU AU SAYARI NYINGINE KANA ZINA-ROTATE?
 
Ndiyo sayari zote zina rotation na hutofautiana, sayari ya Venus Ina rotation ndefu kuliko sayari zingine huchukua zaidi ya Siku za dunia yetu 220 kumaliza rotatation moja hivyo siku kuwa ni kubwa maana Venus rotation ni kubwa kuliko revolution, kuhusu sababu kubwa ya hizi rotation ni angular momentum ambayo kanuni yake ni L=m*w*r^2, m ni mass,w ni angular velocity radian per second kwa hiyo hata ukirusha jiwe projectile motion litajirotate tu na ili uweze kujua rotation unaweza tumia hiyo kanuni kutegemea na spidi ya hiyo object.
Sidhani kama swala la dunia kuzunguka jua linahitaji imani unachohitaji ni proof na evidence tu ili ujue ni kivipi dunia inazunguka jua tunaweza kufanya baadhi ya practical demonstration kurithibitisha hili, kuhusu swala la kupiga kuiona dunia ikizunguka aisee haiwezekani maana hizi sayari kuonekana kwenye sayari nyingine dunia inaweza onaonekana Kama kanyota tu na movement zake huwezi kuinotice Kama hivyo unavyodhani na ikiwezekana huwezi kuionekana kabisa ni Kama vile tunavyoona sayari Kama Venus ama mars pindi zinapopita karibu na dunia. Na hakuna teknolojia yoyote kwa sasa ambayo inaweza kuwezesha vyombo kutoka kwenye solar system yetu kwenda kwenye galaxy zingine.
 
EH KWELI SAYANSI NI NGUMU.NIMEONA PICHA KUBWA ZA SOLA SYSTEM KWENYE MTANDAO NIKAFIKIRI WANGELIWEZA PIA KUPIGA ZILE ZA VIDEO!
 
NINA KAMA 47YRS OLD ZAMANI NIKIWA MDOGO HUKO KIJIJINI NILIPOKULIA NILIONESHWA PICHA ZA VYOMBO APOLO 11 AMBAZO WENZETU WALITUMIA KUTUA MWEZINI. LEO NASOMA KWENYE MTANDAO KUWA ZILE ZILIKUWA ZA KUUNDWA TU WAKATI WA COLD WAR KATI YA MAREKANI NA URUSI. HIVYO DI AJABU SIKU NYINGINE TUKA AMBIWA TUFUTE AKILINI MAMBO MENGINE AMBAYO TULIAMINISHWA. MAANA TECHNOLOGY (application of Science at work!) INAKUA!!!
 
Nenda kwenye tovuti ya NASA uliza swali hilo, watakuletea link inayokuonesha dunia ikizunguka live, tena utaona na idadi ya watu mnaoitazama kwa muda huo.
Limit ni wastani wa swali moja kwa siku kwa mtu mmoja.
 
Hatundoki kwa vile kuna gravity ina act kutuvuta centre of the earth
Mimi nauliza hivi kama tuko nnje yadunia nadunia inazunguka mbona hatuanguki? Nakama kunahiyo nguvu in anamana wakati mwingine tunakua kichwa chini miguu juu?
 
Nenda kwenye tovuti ya NASA uliza swali hilo, watakuletea link inayokuonesha dunia ikizunguka live, tena utaona na idadi ya watu mnaoitazama kwa muda huo.
Limit ni wastani wa swali moja kwa siku kwa mtu mmoja.
Wataalam wanasema mbaka sasa binadam anatumia aslimia arobaini yauwezo katika ubingo wake tutapata majibu kamili akitumia aslimia themanini ndoninavyo amino mimi
 
Mimi nauliza hivi kama tuko nnje yadunia nadunia inazunguka mbona hatuanguki? Nakama kunahiyo nguvu in anamana wakati mwingine tunakua kichwa chini miguu juu?
Tupo ktk uso wa dunia sio nje na Gravitational pulls inatuvuta inward to the centre of the earth
 
Kutokana na knowledge yangu gravitational (physics topic ya mechanic) jua kweli linazunguka ila ktk mhimili wake. Ila sayari zote zinazunguka jua
 
Dunia hailizunguki jua bali jua ndio linaizunguka dunia.Huu ndio ule uongo mwingine wa fitna za kisayansi kama walivyo tuongopea ya kuwa kuna mtu alienda mwezini.

Kuna mengi sana aisee.Leo wanajaribu kutuaminisha uwepo wa uhai katika Mars na sijui Jupiter.Yangekuwa kweli angeyasema Mola aliyeumba ardhi na mbingu na vyote vilivyomo.

Mambo mengine hayahitaji utafiti wala ushindani.Leo wanasema kumetengwa dola bil 29 kama sikosei kwa ajili ya kwenda kwenye sayari nyekundu.

Acha waendelee kututengenezea filamu huko area 51.
 
Kaka unaijua vizuri misingi ya sayansi ?Unajua sisi huwa hatufikirii kimatabaka.

Nakuuliza swali.Hivi umeshawahi kukuta jambo la anga lolote likazungumzwa bila kuwepo na nadharia nyuma yake ? Ukweli ni kinyume chake.Je ni nini maana ya nadharia ? Je nadharia imeshawahi kutangulia upimaji (Measurement) ?

Huu ujinga tumeshakanywa zamani sana.

Jambo lingine ambalo halihitaji kuingia darasani ni hili la kuchomoza na kuzama kwa jua.Hii pia inaonyesha ya kuwa jua ndio linaizunguka dunia wala haina haja ya kutumia nadharia wala bla bla nyingine.
 
Hebu soma vzr ulichoandika.

Rotational speed = 30km/h

After 10 seconds

Distance covered ???

Pia kuna tofauti ya rotational and translational motions.

Wanna be the philosopher? Welcome to my world.
Kaka usijivunie falsafa.Sisi kwetu falsafa si elimu ya kujifunza mtu kwani haimsaidii mtu zaidi ya kumfanya azidi kuwa mjinga.
 
Kiongozi hizo ni sinema na makanya boya wangapi waliaminishwa kuna mtu alienda mwezini na si kweli ? Hakuna mtu aliyeenda mwezini na hatoenda mwezini.

Kaka hivi ni vita vya mataifa makubwa kuonyesha nani ni nani na kutokana na wao kutokuwa na imani wala uoga hawakuona shida kututengenezea filamu iliyopendwa sana ya mtu aliyeenda mwezini lakini jambo hili mbona limefichuka tangu miaka ya sabini ?

Hapa nayazungumzia mataifa ya urusi na marekani.

Na wao wenyewe wakakosoana na hatimae aliyekuwa anafichua siri juu ya ukweli kuhusu mtu kwenda mwezini alikuwa ni halali yao.Sasa ya nini tuendelee kudanfanywa ?

Hili suala la dunia kuizunguka jua si la kweli ndio maana kuna mbwe mbwe nyingi na nadharia lukuki mara kwendo kasi mkali sana.

Kaka huu wakati si wakufata nadharia ni wakati wakufata hakika ya mambo yalivyo.

Mimi leo hii masuala ya sayari na anga siyatilii manani hata chembe sababu walinidanya zamani na sitaki wanidanganye leo.

Lakini mimi kitabu changu cha imani kimeniondolea shaka zote.Wala sidanganywi tena.

Hii sayansi inavimbwanga sana.
 
video nyengine theory ya tatu ambayo haifanani na hizo mbili hapo juu, hii inasema dunia na jua zote zinazunguka na jua halijasimama. uzungukaji wake ni kama spiral au vortex ndio maana picha za galaxy zikipigwa zinakuwa namna hio

 
ni kweli mkuu si vyema kuamini kila unaloambiwa, lakini kama muisilamu pia unatakiwa uitafute elimu, ni vyema kusoma kila kitu
 
ni kweli mkuu si vyema kuamini kila unaloambiwa, lakini kama muisilamu pia unatakiwa uitafute elimu, ni vyema kusoma kila kitu
Si vyema kusoma kila kitu bali ni vyema kujifunza kile chenye manufaa na kusuchokuwa na manufaa una achana nacho.
 
video nyengine theory ya tatu ambayo haifanani na hizo mbili hapo juu, hii inasema dunia na jua zote zinazunguka na jua halijasimama. uzungukaji wake ni kama spiral au vortex ndio maana picha za galaxy zikipigwa zinakuwa namna hio

Haya maigizo nayachukia sana kaka.Huwa najiuliza kwanini huwa wanaamua kuwadanganya watu ili iweje na wanapata nini ? Nani aliwaambia wasipojua kitu fulani watachekwa ?

Kaka elimu ni ukweli tupu na uongo si elimu,uongo ni uongo tu.
 
Kaka unaposema sisi tupo ndani ya dunia unamaanisha nini sijakuelewa hapo ?

Na je ni kweli kwamba kitu kikiwa katika mwendo usiobadiliki huwezi kuhisi mwendo wake ? Hiyo ni nadharia ya jumla au ?
 
Kaka mfano wako nimeulewa sana.Hivi dunia ina umbo gani ? Pia lazima uniambie dunia inazungukaje na kama inazunguka je inazunguka kama jua linavyozunguka au mwezi ?

Kama linazunguka kama viwili hivyo lazima uniambie dunia inazunguka kutoka upande gani kwenda upande gani ?

Kisha mfano utazame vizuri.Bila shaka mfano wako lengo lako lilikuwa ni kusawiri moja kwa moka hali halisi ilivyo ?

Kama umekusudia hivyo ina maana dunia inatembea au kuzunguka katika mwendo mnyoofu au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…