Je, ni kweli flyovers na ndege zetu hazina msaada wowote kwa mwananchi anayeishi Nanyamba au Kyabakari?

Umetoa point muhimu sana, inafaa Lissu apewe hii ni nondo safi sana kwani ni kweli "ili uone unapoteza muda lazima uwe na kitu cha kufanya" na asilimia kubwa ya watu hata Dar wako idle. Very good.
 
Orodha ya alivyovifanya ni kubwa Sana. Kwa uchache wa yaliyofanyika rejea
post yangu

Kumrudisha Rais Magufuli sio kupoteza kura bali ni kuitendea haki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mna kazi kubwa wenye akili ndogo
 
Umetoa point muhimu sana, inafaa Lissu apewe hii ni nondo safi sana kwani ni kweli "ili uone unapoteza muda lazima uwe na kitu cha kufanya" na asilimia kubwa ya watu hata Dar wako idle. Very good.
Watu kuwa idle nayo ni point? Badala ya kuhimiza watu kufanya kazi unashadadia uvivu. Kazi za kufanya zipo nyingi sana tatizo ni kuwa ukishapata kadigirii kako unaona kuna kazi sio hadhi yako. Uko radhi uombe vocha kulikokuajiriwa kuuza duka au kufuga kuku wa kienyeji wakati unatafuta hiyo kazi unayoitaka
 
Kamanda lissu kasemaje?
 

Shujaa ktk mtandao...
Inaonekana ww Ni kula kulala...
Kifupi ht Hy mwenye mtaji wa duka na kuku mtaji umeshakata...
 
Hapo ulipo utakuta wewe mwenyewe umeajiriwa na ukiachishwa kazi leo nyie ndio wale wanageuka matapeli na hata huko kujiajiri unakoongelea humu hutafanya.

Serikali zinabanwa duniani kote kuhusu swala la ajira na inafanya hata serikali zingine kuondolewa madarakani, sasa huko kwingineko mbona hawambii watu wajiajiri.

Na hata kama ni huko kujiajiri unaanza tu from nowhere. Hivi sasa kazi ya serikali ni nini na kwa nini sasa inakuwepo.
 
Soma andiko langu "wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa wilaya fanyeni haya" majibu ya swali lako utayapata
 
Wanajua Ila wanaongopa makusudi,tatzo ni kupata rudhuku tu kwa hiyo Sacco's yao
 
Kama hupandi ndege huoni umuhimu wake.
Kitu lingine, firaun* ambao hamsafiri mnaona hata barabara zinazojengwa ni bure
Hujajibu niliyouliza na uliyojibu sijauliza.

Kwani nimebisha na kusema ndege si muhimu?

Umesoma na kuelewa maswali yangu?

Mbona hujayajibu?
 
flyovers ziko Dar es Salaam sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…