Habari za humu ndani ngugu zangu!
Nadhani mlio wengi mtakuwa mna ufaham kuhusu hii taasisi ya mikopo inayoitwa VIKOBA,,kuna kitu nimekiona mtandaoni kuwa unaweza kupata mkopo ndani ya dakika 55 baada yakutoa Akiba yako ambayo inaanzia elfu hamsini mpaka milion moja,,na dhamna ni shilingi laki moja na elfu tano..Je ndug zanguni jambo hli ni lakweli mana hzo process zote unazifanyia online nakutuma akiba yako kwa Mpesa au tGo pesa..Naomba mweny ufaham na hili anithibitishie tafadhali.Asanteni