Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

SWAZ

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
64
Reaction score
24
Habari za humu ndani ngugu zangu!
Nadhani mlio wengi mtakuwa mna ufaham kuhusu hii taasisi ya mikopo inayoitwa VIKOBA,,kuna kitu nimekiona mtandaoni kuwa unaweza kupata mkopo ndani ya dakika 55 baada yakutoa Akiba yako ambayo inaanzia elfu hamsini mpaka milion moja,,na dhamna ni shilingi laki moja na elfu tano..Je ndug zanguni jambo hli ni lakweli mana hzo process zote unazifanyia online nakutuma akiba yako kwa Mpesa au tGo pesa..Naomba mweny ufaham na hili anithibitishie tafadhali.Asanteni
 
nitumie laki moja nikutumie laki tano, siyo?...lol
kenya wana mikopo ya namna hiyo, ukiomba wanaangalia statement yako ya m-pesa wanadetermine uwezekano wa wewe kulipa, wanakupa pesa bila kukuomba pesa.
 
Utaibiwa wewe acha ujinga! Wezi hao shituka usingizini fasta!
 
nitumie laki moja nikutumie laki tano, siyo?...lol
kenya wana mikopo ya namna hiyo, ukiomba wanaangalia statement yako ya m-pesa wanadetermine uwezekano wa wewe kulipa, wanakupa pesa bila kukuomba pesa.

Kama sijakuelewa vizur hapa mkuu
 
Ni wezi mie nshaliwa na namba yao mojawapo ni hii hapa 0715373283
 
Vikoba ninazozijua ni ligwaride la kila wiki na ukikosekana wanakupiga faini. Ni mfumo wa chini zaidi ya saccos. Huwa ni watu wanaojuana na kukutana mara kwa mara. Hiyo vikoba ya online ndio naisikia leo. Hii mikopo sijui chukua form kwa elfu 20 ni mfumo wa Desi na wengine unaweza usipate kabisa.
 
Ni kweli hyo ni moja ya namba yao waiz kweli
 
Ndugu yangu kaliwa kwa ushauri wangu sasa tufanye nini!!!????
 
Jihadhari mtanzania sambaza ujumbe huu kwa wote.Namba iliyopo kweye web yao kwa sasa ni 0652439003 na 2114173 pia 0757667852.
Wametafuna laki sita jana leo hawapokei simu!!
 
Umenikumbusha, loooh,
Niliwalaani hadi nikapiga nguo chini.

............... Karibu wine ipo yakupika mwenyewe............
Mamndenyi tungekunywa tu Wine kuliko uliko ulivoibiwa
 
Ni wezi mie nshaliwa na namba yao mojawapo ni hii hapa 0715373283

Hata hawawapigii debe ila wana hack account za watu na kujufanya mhusika ndiye kapost mfano walisha hack account za wafuatao:
Zitto kabwe
Diamond platnumz
Mwigulu nchemba
Na watu wengine huko facebook.
Hawa ni wezi wakubwa nashangaa inakuaje mnalizwa kiboya hivyo? Katika hali ya kawaida lazima uone kuwa ni wezi tu..
 
Back
Top Bottom