Habari za humu ndani ngugu zangu!
Nadhani mlio wengi mtakuwa mna ufaham kuhusu hii taasisi ya mikopo inayoitwa VIKOBA,,kuna kitu nimekiona mtandaoni kuwa unaweza kupata mkopo ndani ya dakika 55 baada yakutoa Akiba yako ambayo inaanzia elfu hamsini mpaka milion moja,,na dhamna ni shilingi laki moja na elfu tano..Je ndug zanguni jambo hli ni lakweli mana hzo process zote unazifanyia online nakutuma akiba yako kwa Mpesa au tGo pesa..Naomba mweny ufaham na hili anithibitishie tafadhali.Asanteni
nitumie laki moja nikutumie laki tano, siyo?...lol
kenya wana mikopo ya namna hiyo, ukiomba wanaangalia statement yako ya m-pesa wanadetermine uwezekano wa wewe kulipa, wanakupa pesa bila kukuomba pesa.
Kama sijakuelewa vizur hapa mkuu
Ni wezi mie nshaliwa na namba yao mojawapo ni hii hapa 0715373283
Mamndenyi tungekunywa tu Wine kuliko uliko ulivoibiwa
Umenikumbusha, loooh,
Niliwalaani hadi nikapiga nguo chini.
............... Karibu wine ipo yakupika mwenyewe............
Ni wezi mie nshaliwa na namba yao mojawapo ni hii hapa 0715373283
Ni wezi mie nshaliwa na namba yao mojawapo ni hii hapa 0715373283