Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
879
Reaction score
1,084
Atukuzwe Mungu wetu Aliye Mkuu na Mtakatifu Sana.

Usiku wa jana nilikua ndani ya viunga vya Kariakoo, sehemu muhimu kibiashara ndani ya jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.. Nitaleta Mrejesho wa kile kilicho nipeleka pale

Kwa Sasa nataka kufahamishwa/kujuzwa Jambo hili ambalo nililinyaka/kulipata nikiwa pale Kariakoo.

Yalikua majira ya saa 0220 usiku nikiwa katika ile kazi iliyonipeleka pale mara baada ya kuusoma Uzi wa Mkuu Mshana Jr nikiwa mahali pale kulikuwa na kikundi fulani cha wazee na vijana wakipata kinywaji cha kahawa.. kundi lile lilikuwa limechangamka kwa stori za hapa na pale, wakati Mimi nasogea pale nilikuta mada inayomuhusu Mh. Mbowe.

Wanasema ukienda rumi fanya kama wafanyavyo warumi, basi kwa wepesi wa kanuni hii na Mimi nikaagiza kahawa (Japo si mtumiaji wa kinywaji hiki) na kisha nikatega sikio langu kwa umakini mkubwa.

Mzee mmoja ambaye bila shaka anaheshimika na kuogopeka miongoni wa wale wengine alikuwa akielezea sakata la Mh. Mbowe kuwa hii kesi yake na kufungwa kwake ni Danganya toto ili kuficha na kupoteza mambo mengine, akaulizwa kivipi kadiri ya maelezo ya yule Mzee ni kuwa Mh.Mbowe ni mmoja wa watu wa ile idara nyeti yenye jukumu la kuzingatis usalama wa nchi unakuwa katika ubora wake.

"Yule, yupo kazini pale na analipwa kama maafisa wengine wanavyolipwa posho zao za siku wakiwa katika misheni".. Haya yalikuwa maneno ya yule Mzee, kiukweli niliduwaa na kubaki na maulizo mengi, na ndio maana nikaleta bandiko hili ili wale wataalamu watusaidie kulichambua na kulinyumbua kinyumbufu.

Umakini wangu mahali pale ulipotezwa ghafla mara baada ya kundi lile kuhamia kwenye stori za timu za Kariakoo, nikaamua kuachana na lile kundi ili nitimize majukumu yangu ya msingi.

Katika yote, wananchi wenye mapenzi mema na nchi yetu kwa usalama na taswira nzuri ya nchi Tumuombe Mungu sakata hili limalizike kwa amani.

Ee Mungu Uturehemu.
 
Kwakuwa ujinga huu uliuchukuwa kwenye kijiwe cha kahawa basi tumekusamehe, ila usirudie siku nyingine kutuletea mambo ya kitoto.
 
Ni kweli tupu
 
MBOWE ni mpinzani halisi
 
Unaweza onekana hayawani kwa ulioyasema hapa yaliosemwa na huyo mzee pia, lakini huo ndio ukweli wenyewe. Yule jamaa yupo kazini haswaa.
 
Kwakuwa ujinga huu uliuchukuwa kwenye kijiwe cha kahawa basi tumekusamehe, ila usirudie siku nyingine kutuletea mambo ya kitoto.
Sawa, Asante kwa kunisamehe.

Lakini Sasa naomba niombe msamaha, maana umeonyesha moyo mkunjufu sana kwa kunisamehe kabla sijaomba msamaha, Kaka Matola Tafadhali uniwie radhi Mimi ndugu yako Mtumaini Mungu sitarudia Tena kuleta ujinga na mambo ya kitoto.

Asante.
 
Atukuzwe Mungu wetu Aliye Mkuu na Mtakatifu Sana.

Usiku wa jana nilikua ndani ya viunga vya Kariakoo, sehemu muhimu kibiashara ndani ya jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.. Nitaleta Mrejesho wa kile kilicho nipeleka pale

Kwa Sasa nataka kufahamishwa/kujuzwa Jambo hili ambalo nililinyaka/kulipata nikiwa pale Kariakoo.

Yalikua majira ya saa 0220 usiku nikiwa katika ile kazi iliyonipeleka pale mara baada ya kuusoma Uzi wa Mkuu Mshana Jr nikiwa mahali pale kulikuwa na kikundi fulani cha wazee na vijana wakipata kinywaji cha kahawa.. kundi lile lilikuwa limechangamka kwa stori za hapa na pale, wakati Mimi nasogea pale nilikuta mada inayomuhusu Mh. Mbowe.

Wanasema ukienda rumi fanya kama wafanyavyo warumi, basi kwa wepesi wa kanuni hii na Mimi nikaagiza kahawa (Japo si mtumiaji wa kinywaji hiki) na kisha nikatega sikio langu kwa umakini mkubwa.

Mzee mmoja ambaye bila shaka anaheshimika na kuogopeka miongoni wa wale wengine alikuwa akielezea sakata la Mh. Mbowe kuwa hii kesi yake na kufungwa kwake ni Danganya toto ili kuficha na kupoteza mambo mengine, akaulizwa kivipi kadiri ya maelezo ya yule Mzee ni kuwa Mh.Mbowe ni mmoja wa watu wa ile idara nyeti yenye jukumu la kuzingatis usalama wa nchi unakuwa katika ubora wake.

"Yule, yupo kazini pale na analipwa kama maafisa wengine wanavyolipwa posho zao za siku wakiwa katika misheni".. Haya yalikuwa maneno ya yule Mzee, kiukweli niliduwaa na kubaki na maulizo mengi, na ndio maana nikaleta bandiko hili ili wale wataalamu watusaidie kulichambua na kulinyumbua kinyumbufu.

Umakini wangu mahali pale ulipotezwa ghafla mara baada ya kundi lile kuhamia kwenye stori za timu za Kariakoo, nikaamua kuachana na lile kundi ili nitimize majukumu yangu ya msingi.

Katika yote, wananchi wenye mapenzi mema na nchi yetu kwa usalama na taswira nzuri ya nchi Tumuombe Mungu sakata hili limalizike kwa amani.

Ee Mungu Uturehemu.

Mengine haya pelekeni huko kwenu Chatto na Makunduchi watawaona mna hoja.

Huku mnaonekana viroja tu mkiwamo nyie wenyewe.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom