Je, ni kweli hujawahi kumsaliti mwenzi wako?

Ni ngumu kumesa,wale wenye fake ID tu tena unknown watasema ukweli.
NILIWAAMBIWA KUWEPO UTARATIBU WA KUSAJILI WAPENZI,kwa teknolojia ya kompyuta tungepata majibu kama "MPENZI UNAEJARIBU KUMSAJILI AMEKWISHA SAJILIWA TAFADHARI JARIBU TENA KWA MWINGINE."
 
ayaa sa haya ndio maswali gani.....

wengine wachumba zetu wako hum hum ukijibu tu

PM inaingia hapo hapo kuwa tusijuane...Sim wala haitumii
acha uwoga wewe,ukisema ndio utakuwa umempunguzia mzigo,saa nyengine yeye alikuwa akitaka kukwambia kwamba anatembea na naniliyu ila alikuwa akiogopa kukuanza.
Nalog off
 
hahahah hii teknolojia itasumbua sana watu kwa kweli.
Nalog off
 
acha uwoga wewe,ukisema ndio utakuwa umempunguzia mzigo,saa nyengine yeye alikuwa akitaka kukwambia kwamba anatembea na naniliyu ila alikuwa akiogopa kukuanza.
Nalog off

Mie wala sio Muoga...nae kama anataka kuniambia wala asinambie bora

aendelee kukaa kimya tu....stress nilizonazo zinanitosha aisee
 
Mie wala sio Muoga...nae kama anataka kuniambia wala asinambie bora

aendelee kukaa kimya tu....stress nilizonazo zinanitosha aisee
hahahahah achana na stresi zitaumaliza uzuri wako.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…