Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
- Thread starter
- #21
ok,vipi bi dada mumeo yuko humu humu au anajua jina lako hili?Ngumu kumeza.
Nalog off
ok,vipi bi dada mumeo yuko humu humu au anajua jina lako hili?Ngumu kumeza.
Mapenzi ya kizamani hayo,hutakiwi uingie kichwa kichwa,unatakiwa mguu mmoja ndani mwengine nje.Stress za mapenzi ndo balaa...unaweza kuloose weight bila kupenda......
wengine tukipenda tunapenda hasa....
Hapa namaanisha usaliti wa kwenye mapenzi,je?umeshawahi kutendwa nje ya ndoa au boifrendi wako.halafu Usaliti unajua ni neno pana saana...
labda we ungesema swali lako umelielekza mrengo gani
Mapenzi ya kizamani hayo,hutakiwi uingie kichwa kichwa,unatakiwa mguu mmoja ndani mwengine nje.
Nalog off
Hapa namaanisha usaliti wa kwenye mapenzi,je?umeshawahi kutendwa nje ya ndoa au boifrendi wako.
Nalog off
Mara nyingi mno.ko mapenzi yaa siku hizi ndo yako hivo....
we umeshawahi kumsaliti mpenzi wako
Mara nyingi mno.
Nalog off
why not while you still breathing?never ever
haya naiona ila naona ni bora kusema ukweli kuliko kudanganya.huono hata haya....kusema hivo
Ok,hongera kwa kuwa muaminifu kwake.Sijui kama alishanitenda...na mimi sijawahi....
Nalog inn
haya naiona ila naona ni bora kusema ukweli kuliko kudanganya.
Nalog off
Ok,hongera kwa kuwa muaminifu kwake.
Nalog off
Nimekuruhusu sema umenisaliti mara ngapi ? maana hata mimi nimekusaliti pale kwa mama na nii, kazini na pale baani kwa yule bamedi!!!ayaa sa haya ndio maswali gani.....
wengine wachumba zetu wako hum hum ukijibu tu
PM inaingia hapo hapo kuwa tusijuane...Sim wala haitumii
nashukuru kwa ushauri wako,nitajitahidi kufanya hivyo.ila uache so tabia njema...
maana kule nako unasema kufumaniwa we ni kawaida sana
naomba lifti kwenye magari yako,ila tunakuomba kuwa mkweli na twambie kwamba umemsaliti shemeji yetu mara ngapi?:car: :car: Napita tu!!!!
ok,nafikiri nimekuelewa.Asante....being faithful is not an optional sema basi tu
Santeee na safi sana kwa kuweka mambo hadharani,nadhani hatokuwa mwoga na atakwambia tu.Nimekuruhusu sema umenisaliti mara ngapi ? maana hata mimi nimekusaliti pale kwa mama na nii, kazini na pale baani kwa yule bamedi!!!
ok,vipi bi dada mumeo yuko humu humu au anajua jina lako hili?
Nalog off