Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
katika fumanizi zote zilizonikuta niliweza kumtuliza mwenye mke na kuondoka bila hata ya kupigwa singi,mimi huwa natembea na bunduki na ukileta masihara huwa sikopeshi.
Nalog off
Hee,mbna unantisha tena? Yani na bunduki unatembea nayo!! Utanfanya niahirishe mchakato wewe