Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
- Thread starter
- #121
pole kwa yaliyokukuta.Unaniambia pole utafikiri ni ugonjwa. I feel perfectly normal.
Nalog off
pole kwa yaliyokukuta.Unaniambia pole utafikiri ni ugonjwa. I feel perfectly normal.
santeee bi dada kama bado hujampata unaweza kuongea nami ili tuweze fanikisha zoezi hili.Sijawahi ila nafikiria!
umeshafanya zaidi ya usaliti?Hapa sina comment
amin.Mimi natumia ID ya kweli..Nina miaka nane katika NDOA.. Sijawahi wala sina wazo la kutembea nje ya ndoa yangu. ...Pamoja na channgamoto ninazopata kutoka upande mwingine wa shilingi... Mbarikiwe sana..!
vipi kuhusu usaliti wa mapenzi?Umeonaee! Usaliti wa mapenzi au pesa maana nowdays tunasalitiana kwenye mali na si mapenzi (ufoo type )
hongera yako na kwa kuwa umeweza kumshinda mpinzani wako,basi bila kinyongo nakuchagulia huu wimbo wa kukupongeza.Sijawahi ila nakabiliana na changamoto za upande wa pili!
santeee bi dada kama bado hujampata unaweza kuongea nami ili tuweze fanikisha zoezi hili.
Nalog off
Utaweza mikiki ya ufumaniz lkn? Mana mi ntabaki ku2mbua macho2 balaa likianza
Hongera yako kaka,nimekuchagulia hii nyimbo katika kukuunga mkono huo moyo ulionao.Mi sijawahi
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😀😀😀:confu sed: Heaven on earth sema tuu usiogope grafani11 au figganigga au Vin Diesel hatakuacha
katika fumanizi zote zilizonikuta niliweza kumtuliza mwenye mke na kuondoka bila hata ya kupigwa singi,mimi huwa natembea na bunduki na ukileta masihara huwa sikopeshi.Utaweza mikiki ya ufumaniz lkn? Mana mi ntabaki ku2mbua macho2 balaa likianza
hilo lote donge hilo,unaona donge wewe kkkk.mh......haya sasa...akishasema anaweza?! Ndo mchakato unaanza kimya kimya" nawaza.
We kubali usikubali..hali halisi ndio hio!
mh......haya sasa...akishasema anaweza?! Ndo mchakato unaanza kimya kimya" nawaza.