Je, ni kweli hujawahi kumsaliti mwenzi wako?

Je, ni kweli hujawahi kumsaliti mwenzi wako?

Mmmh... Sijawahi hata kufikiria kumsaliti..!
 
Usaliti upi sasa wewe dogo usaliti kijumla au na mtu wa karibu? usaliti kijumla mbona ndio maisha ya kawaida tunayoishi wanadamu wa leo au wewe uko dunia gani aisee
usaliti wa kimapenzi yaani namaanisha kugawa uroda nje ya mahusiano yenu.
Nalog off
 
Unajua Washawasha kila mtu kazaliwa na 'vitu' vyake, sasa kila mtu anapaswa kuwa na hiari ya kuvitumia kama apendavyo. Kuna haja gani ya kumnyima mwenzako kitu ulichopewa bure na aliyekuumba? Unyimivu sio kitu kizuri.

Mmepewa bure, toeni bure.. Period!!!!! :amen:

Nalog in.
Ni kweli kaka,katika maisha hutakiwi kubania bania vitu.Naunga mkono majibu yako haya.
Nalog off
 
Ewaaa wape watoto wa wanaume wenzio raha na utamu.
Umeona eh!mtoto wa kike anakuja kukulia eti ana miezi mitatu hajagongwa na mimi ni mume wa mtu,lazima nimuonee huruma na kwenda kumla raha.Hakuna dhambi hapo nakuwa nimemsaidia.
Nalog off
 
usaliti wa kimapenzi yaani namaanisha kugawa uroda nje ya mahusiano yenu.
Nalog off

Ina mana hujanielewa hakuna cha peke yako aiseee unatusua na wenzio wanatusua pia wewe una hati miliki tu ya kuitisha mzigo saa na dakika unayotaka lakini ukilegeza vipembeni watachapa kama kawa; wewe hakikisha tu mzigo unausulubu mpaka kila akikaa unatangulia kwenye kiti hatakuwa na mudi wa kuitoa pembeni.
 
Back
Top Bottom