Je, ni kweli hujawahi kumsaliti mwenzi wako?

Je, ni kweli hujawahi kumsaliti mwenzi wako?

Hili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off
Yes, we are humans by da way... Should I stuck there? Absolutely no, let da by gones be by gones
 
Ina mana hujanielewa hakuna cha peke yako aiseee unatusua na wenzio wanatusua pia wewe una hati miliki tu ya kuitisha mzigo saa na dakika unayotaka lakini ukilegeza vipembeni watachapa kama kawa; wewe hakikisha tu mzigo unausulubu mpaka kila akikaa unatangulia kwenye kiti hatakuwa na mudi wa kuitoa pembeni.
Santeeee,na hivi ndivyo inavyotakiwa.
Nalog off
 
Siwezi kujisifu kwa hili,ni kweli nimemkosea mwezi wangu, Mwenyezi MUNGU atusamehe kwa yote,mwili ni dhaifu lakini roho i radhi.
 
huwezi kuami lakini ndio ukweli nimeanza kuishi na mke wangu 2003 nikabakwa na rafiki yake 2004 toka hapo sikuwahi kumsaliti maana yake miaka 10 ya ndoa yangu nimemjua mwanamke mmoja tu
 
Hili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off

niliwahi na inawezekana nikaendelea tu kwani yangu sio ufunguo kusema imechongwa kwa ajili ya tundu la kufuli moja. Nieleweke hivyo.
 
niliwahi na inawezekana nikaendelea tu kwani yangu sio ufunguo kusema imechongwa kwa ajili ya tundu la kufuli moja. Nieleweke hivyo.
Santeee na hiyo ndio maana yake kiongozi kwanini iwe ya mmoja tu wakati wako wengi?
Nalog off
 
huwezi kuami lakini ndio ukweli nimeanza kuishi na mke wangu 2003 nikabakwa na rafiki yake 2004 toka hapo sikuwahi kumsaliti maana yake miaka 10 ya ndoa yangu nimemjua mwanamke mmoja tu
eh bhana eh! kweli unakosa mengi unagonga hapo hapo tu.
Nalog off
 
Ningefurahi san ningeambiwa mi mshamba wa mapenz maana ye kama much know mbona uhusiano haudumu? ktk mapenz bora ujifanye mjinga utaishi bila stress
dah! ila hawachelewi kukuimbia *BABU JINGA INAMA UFIKIRI MALI YAKO INALIWA*
Nalog off
 
Back
Top Bottom