Je, ni kweli huyu Declan Rice ana thamani ya paundi milioni 100?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907

Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice.

Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya kiungo huyo.

Je Decline Rice ana thamani kwelu ya paundi milioni 100 au utaifa unambeba? Ana nini cha maana?
 
Uingereza wachezaji wazawa wanathamani kubwa sana hata kama kiwango chao ni cha kawaida.
Tanzania wachezaji wa kigeni wanathamani kubwa sana hata kama kiwango chao ni cha kawaida,
 
Bora Chelsea nae alijitoa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…