Je, ni kweli huyu Declan Rice ana thamani ya paundi milioni 100?

Je, ni kweli huyu Declan Rice ana thamani ya paundi milioni 100?

Waingereza wapuuzi kama wapuuzi wengine, hiyo siyo bei halisi sema wanajibrand tu
Mason Mount nayeye eti, 50£ wanakataa, kuna vielement flani walibakiza hadi kwenye makoloni yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo brother, kuna dhambi gani waingereza kubrand cha kwao, sio vizuri kuwaza mambo ukiwa emotional unajikuta una criticise badala ya ku analyse
 
Acha hizo brother, kuna dhambi gani waingereza kubrand cha kwao, sio vizuri kuwaza mambo ukiwa emotional unajikuta una criticise badala ya ku analyse
Huyo mchezaji hawezi kukupa chochote cha maana zaidi ya kuleta gumzo kama Maguire tu, wachezaji wachache wa kiingereza walikuwa wamekamilika kama Gerald au Lampard, scholes lakini kwa kizazi cha Rashford ni utopolo mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchezaji hawezi kukupa chochote cha maana zaidi ya kuleta gumzo kama Maguire tu, wachezaji wachache wa kiingereza walikuwa wamekamilika kama Gerald au Lampard, scholes lakini kwa kizazi cha Rashford ni utopolo mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado uko too emotional na vitu vinavyohitaji analysis, unasema current generation ya Uingereza ni utopolo, Bellingham, rashford, walker, Trent, kane, wewe jamaa umepita shule gani
 
Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice.

Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya kiungo huyo.

Je Decline Rice ana thamani kwelu ya paundi milioni 100 au utaifa unambeba? Ana nini cha maana?

Waingereza wanajipa thaman sana
 
Bado uko too emotional na vitu vinavyohitaji analysis, unasema current generation ya Uingereza ni utopolo, Bellingham, rashford, walker, Trent, kane, wewe jamaa umepita shule gani
Wewe labda unavinasaba na Waingereza kwenye soko la sasa ni wachezaji wa kiingereza wanaweza kunanuliwa bei kubwa, Kane, Bellingham sasa Trent kutengeneza mashambulizi sawa lakini sio kushambulia tayari kuna upungufu, Rashford homa ya vipindi, Walker tayari man City wamepata mbadala wake, Halland angeuzwa kwa shilingi ngapi sasa, brother huwa sitaki kupishana na mtu kuhusu elimu kila mtu abaki na mtizamo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo bei za sasa kwani Grealish ana thamani ya milioni 100?
 
Misimu hii miwili iiyopita nimemwangalia sana Declan Rice coz alihusishwa na kuja chama langu la Chelsea.
Nikuhakikishie tu kwa pale uingereza mtoe Rodri wa city na casemiro na caeicido.
Hakuna DMF mzuri kama DR.
Ile kiungo ya WEST HAM ameifanya iwe stable sana.
Ana deserve hiyo miliion 100 kwa sababu cub inajua thamani yake so iimwekea release clause nzuri.
Lakini pia club nyingi zinamtaka so ni nafasi ya west ham kupiga hela.
 
Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice.

Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya kiungo huyo.

Je Decline Rice ana thamani kwelu ya paundi milioni 100 au utaifa unambeba? Ana nini cha maana?
Tatizo lilianza pale City walivyoingilia kati hilo deal.
 
Shuhuli mnayokutana nayo mkikutana na westham mnaionaje kwani.
 
Anatoka timu ya kuzuia Sana ,check stats zake halafu useme ulitaka achezaje ili awe na thaman ya £100m+
IMG_20230703_143514.jpg
IMG_20230703_143505.jpg
IMG_20230703_142348.jpg
 
Back
Top Bottom