Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Acha hizo brother, kuna dhambi gani waingereza kubrand cha kwao, sio vizuri kuwaza mambo ukiwa emotional unajikuta una criticise badala ya ku analyseWaingereza wapuuzi kama wapuuzi wengine, hiyo siyo bei halisi sema wanajibrand tu
Mason Mount nayeye eti, 50£ wanakataa, kuna vielement flani walibakiza hadi kwenye makoloni yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mchezaji hawezi kukupa chochote cha maana zaidi ya kuleta gumzo kama Maguire tu, wachezaji wachache wa kiingereza walikuwa wamekamilika kama Gerald au Lampard, scholes lakini kwa kizazi cha Rashford ni utopolo mwingiAcha hizo brother, kuna dhambi gani waingereza kubrand cha kwao, sio vizuri kuwaza mambo ukiwa emotional unajikuta una criticise badala ya ku analyse
Bado uko too emotional na vitu vinavyohitaji analysis, unasema current generation ya Uingereza ni utopolo, Bellingham, rashford, walker, Trent, kane, wewe jamaa umepita shule ganiHuyo mchezaji hawezi kukupa chochote cha maana zaidi ya kuleta gumzo kama Maguire tu, wachezaji wachache wa kiingereza walikuwa wamekamilika kama Gerald au Lampard, scholes lakini kwa kizazi cha Rashford ni utopolo mwingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice.
Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya kiungo huyo.
Je Decline Rice ana thamani kwelu ya paundi milioni 100 au utaifa unambeba? Ana nini cha maana?
Wewe labda unavinasaba na Waingereza kwenye soko la sasa ni wachezaji wa kiingereza wanaweza kunanuliwa bei kubwa, Kane, Bellingham sasa Trent kutengeneza mashambulizi sawa lakini sio kushambulia tayari kuna upungufu, Rashford homa ya vipindi, Walker tayari man City wamepata mbadala wake, Halland angeuzwa kwa shilingi ngapi sasa, brother huwa sitaki kupishana na mtu kuhusu elimu kila mtu abaki na mtizamo wakeBado uko too emotional na vitu vinavyohitaji analysis, unasema current generation ya Uingereza ni utopolo, Bellingham, rashford, walker, Trent, kane, wewe jamaa umepita shule gani
Tatizo lilianza pale City walivyoingilia kati hilo deal.
Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice.
Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya kiungo huyo.
Je Decline Rice ana thamani kwelu ya paundi milioni 100 au utaifa unambeba? Ana nini cha maana?
Kweli kabisa aisee tena Xhaka ka improve sana misimu hii miwili, unamuacha Xhaka na Partey unaenda kubeba Rice kweli?Naona Arsenal tumejaa
Huyo Rice ni mchezaji wa kawaida mno bora hata xhaka angebaki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah man City ndo walivo wanaanzisha kumtaka mchezaji alafu wanajitoa. Wana makusudi haoBora Chelsea nae alijitoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Semen alizidiwa kujitoa ndio nnAaah man City ndo walivo wanaanzisha kumtaka mchezaji alafu wanajitoa. Wana makusudi hao
Yani tuzidiwe na asno??huwezi kuwa siriazi mkuu..Semen alizidiwa kujitoa ndio nn
Hahahhha hata mm nashangaa et City azidiwe na arsenal hatreee mkuuuYani tuzidiwe na asno??huwezi kuwa siriazi mkuu..