Hellow!
Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya?
Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya?
Kwamba zoezi la uchukuaji fomu liwe kimya kimya, hakuna shamrashamra,
Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu kagomea mechi isifanyike, uchambuzi wa wagombea pia uwe kimya kimya vipi mtu akizulumiwa, atapiga vp kelele watu wajue?
Kwa kuwa wa kutukanwa hayupo, wa kupimana naye ubavu amegoma, sasa utamtukana nani? Suluhu ni kubaki na matusi yako na kufanya kampeni kimya kimya.🤔
Sasa ikiwa mambo yataenda kimya kimya, nani atajua Pana uchaguzi Mkuu mwaka huu?
Swali: Hizi harakati za kimya kimya ni sababu ya lile dude linalotisha liitwalo NRNE 💪 🔥?
Karibuni 🙏