Je ni kweli, kampeni za kimya kimya wafanyazo ccm zimetokana na operation ya NRNE?

Je ni kweli, kampeni za kimya kimya wafanyazo ccm zimetokana na operation ya NRNE?

Hii NRNE 💪 🔥 imeongeza vita ya ndani kwa ndani kuwa kubwa mno huko Lumumba,

What comes around goes around.

NRNE 💪 🔥
 
Uchaguzi wa maccm wenyewe kwa wenyewe shamra shamra na maumivu wanayo wenyewe
Ni hatari sana kufanya siasa za chama kimoja bila upinzani.

Mwl Nyerere alipata shida sana Katika hilli.
 
Uchaguzi umedoda, shamrashamta zimedoda - mwaka huu wazee wa mashati ya kijani vitenge mtachaguana wenyewe.

Mkimaliza kura za maoni - jiapisheni kwamba mmeshapita ili hela zote mlizotenga za uchaguzi ziemde kusaidie vijana katika kilimo cha umwagiliaji katika kila kata nchi nzima - wekeni vijana si chini ya 200 kila kata wapeni shares ..kila kijana amiliki hekari moja.
 
Ndio sababu anayumbayumba Kumbe ni Chuo kimoja na Katambi 😂😂😂
Ni kweli,

Ameyumba sana na kuyumba kwake kumeipoteza kabisa CCM isijue la kufanya na kuamua kufanya mambo ya uchaguzi kimya kimya!
 
Hellow!


Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya?

Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya?

Kwamba zoezi la uchukuaji fomu liwe kimya kimya, hakuna shamrashamra,

Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu kagomea mechi isifanyike, uchambuzi wa wagombea pia uwe kimya kimya vipi mtu akizulumiwa, atapiga vp kelele watu wajue?

Kwa kuwa wa kutukanwa hayupo, wa kupimana naye ubavu amegoma, sasa utamtukana nani? Suluhu ni kubaki na matusi yako na kufanya kampeni kimya kimya.🤔

Sasa ikiwa mambo yataenda kimya kimya, nani atajua Pana uchaguzi Mkuu mwaka huu?

Swali: Hizi harakati za kimya kimya ni sababu ya lile dude linalotisha liitwalo NRNE 💪 🔥?

Karibuni 🙏
Nabado
 
Back
Top Bottom