Kweli kwa mtindo huu,No reform no election
Ni kweli kabisa,Hawana uhakika na Oktoba, Bado wapo kwenye dilemma
Na wewe nyumbu unalalamikia wapi?Machawa akina Lucas Mwashambwa ,Tlaatlaah ,ChoiceVariable wanalalama gizani sababu walizoea kuchukua pesa Ili kwenda kuwatukana na kuwashughulikia CDM,
Sasa utaomba pesa Ili ideal na Zitto ambaye pia ni chawa?
Wanasonya tu huko waliko saizπ
Mmeingia kwenye mfumo wa NRNE πͺ π₯,Na wewe nyumbu unalalamikia wapi?
Huko kwao kunafuka moshi mkubwaHellow!
Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekalu hekaheka za kimya kimya?
Kwamba zoezi la uchukuaji fomu liwe kimya kimya, hakuna shamrashamra,
Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu kagomea mechi isifanyike, uchambuzi wa wagombea pia uwe kimya kimya vipi mtu akizulumiwa, atapiga vp kelele watu wajue?
Kwa kuwa wa kutukanwa hayupo, wa kupimana naye ubavu amegoma, sasa utamtukana nani? Suluhu ni kubaki na matusi yako na kufanya kampeni kimya kimya.π€
Sasa ikiwa mambo yataenda kimya kimya, nani atajua Pana uchaguzi Mkuu mwaka huu?
Swali: Hizi harakati za kimya kimya ni sababu ya lile dude linalotisha liitwalo NRNE πͺ π₯?
Karibuni π
Ukimya utazuia Moshi unaofuka usionekane?Huko kwao kunafuka moshi mkubwa
Hili swala linawasumbua sana kichwaNi kweli kabisa,
Wanajua bila CHADEMA hakuna uchaguzi,
Wanajua bila Reforms, uchaguzi UTAYEYUKA.
NRNE πͺ π₯
Sasa Ile buku Saba inabidi ipigwe pasu Ili chawa wa CHAUMA na ccm wagawane.Tuko kwenye Kura za maoni
Chadema ndio Chaumma πΌ
Sintofahamu ni kubwa Lumumba.Hili swala linawasumbua sana kichwa
Barua zote kwenda kuchongea CCM kwa mabeberu hapo Chadema zilikuwa zinaandikwa na John Mrema ambaye sasa anaziandika kuiochongea Chadema akiwa ChaummaSasa Ile buku Saba inabidi ipigwe pasu Ili chawa wa CHAUMA na ccm wagawane.
Mtalimia meno mwaka huu, mtafutie kibarua ndugu yako wa vwawa Lucas Mwashambwa
NRNE πͺ π₯
John Mrema ni la Saba A.Barua zote kwenda kuchongea CCM kwa mabeberu hapo Chadema zilikuwa zinaandikwa na John Mrema ambaye sasa anaziandika kuiochongea Chadema akiwa Chaumma
CCM ni hatari na nusu dadeki πβοΈ