Mrema ni graduate wa Mlimani pamoja na Silinde,!Zitto, Shonza , Heche nk πβοΈJohn Mrema ni la Saba A.
Hajui kimomboπ
Na mabeberu hawajui kichaga!
Lugha gongana hiyo!
Graduate asiye na impact!Mrema ni graduate wa Mlimani pamoja na Silinde,!Zitto, Shonza , Heche nk πβοΈ
Heche hakusoma mlimani,Mrema ni graduate wa Mlimani pamoja na Silinde,!Zitto, Shonza , Heche nk πβοΈ
Ni hatari sana kufanya siasa za chama kimoja bila upinzani.Uchaguzi wa maccm wenyewe kwa wenyewe shamra shamra na maumivu wanayo wenyewe
Ndio sababu anayumbayumba Kumbe ni Chuo kimoja na Katambi πππHeche hakusoma mlimani,
Ni zao Bora kabisa la Father Kitima Saut Mza.
NRNE πͺ π₯
Katambi ni kirusi.Ndio sababu anayumbayumba Kumbe ni Chuo kimoja na Katambi πππ
Chadema asiye kirusi π₯· ni Tundu Lisu pekee πKatambi ni kirusi.
NRNE πͺ π₯
Ni kweli,Ndio sababu anayumbayumba Kumbe ni Chuo kimoja na Katambi πππ
Itawakaanga mwaka huuSintofahamu ni kubwa Lumumba.
Hii gia ya NRNE ni kubwa sana.
NRNE πͺ π₯
NabadoHellow!
Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya?
Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya?
Kwamba zoezi la uchukuaji fomu liwe kimya kimya, hakuna shamrashamra,
Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu kagomea mechi isifanyike, uchambuzi wa wagombea pia uwe kimya kimya vipi mtu akizulumiwa, atapiga vp kelele watu wajue?
Kwa kuwa wa kutukanwa hayupo, wa kupimana naye ubavu amegoma, sasa utamtukana nani? Suluhu ni kubaki na matusi yako na kufanya kampeni kimya kimya.π€
Sasa ikiwa mambo yataenda kimya kimya, nani atajua Pana uchaguzi Mkuu mwaka huu?
Swali: Hizi harakati za kimya kimya ni sababu ya lile dude linalotisha liitwalo NRNE πͺ π₯?
Karibuni π
Sio rahisiUkimya utazuia Moshi unaofuka usionekane?
NRNE πͺ π₯
Gentleman,Machawa akina Lucas Mwashambwa ,Tlaatlaah ,ChoiceVariable wanalalama gizani sababu walizoea kuchukua pesa Ili kwenda kuwatukana na kuwashughulikia CDM,
Sasa utaomba pesa Ili ukadeal na Zitto ambaye pia ni chawa?
Wanasonya tu huko waliko saizπ