Je, ni kweli kampuni ya Yapi Merkezi imekumbwa na ukata wa pesa hivyo kuathiri ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)au Serikali ya Tanzania inaficha ukweli?

Treni ilipaswa ishia Dodoma maana abiria wengi mwisho hapo.
Treni haikupaswa
Ikiishia Dodoma haitakuwa economic viable. Malengo ilikuwa ushoroba wa kati ndio uwe best option kwa landlocked country zote.
 
Treni ilipaswa ishia Dodoma maana abiria wengi mwisho hapo.
Treni haikupaswa
Kilevi unachotumia achana nacho. Yaani treni ya kati abiria wengi huishia Dom!?
Hiyo ni treni ya mikoa ya magharibi pamoja na nchi jirani (Congo & Burundi) hao ndo watumiaji wakubwa wa reli ya kati.
 
wewe kwa hizo akili ulizopewa ambazo zimeoverflow umeona JPM alikuwa anasikiliza ushauri wa Samia kwenye hizo issues au nyingine zo zote?

Be realistic man!!!!!!!!!
 
wewe kwa hizo akili ulizopewa ambazo zimeoverflow umeona JPM alikuwa anasikiliza ushauri wa Samia kwenye hizo issues au nyingine zo zote?

Be realistic man!!!!!!!!!
Kama were ni Vice President unaona ushauri waKo hausikilizwi na boss wako unangoja nini badala ya kuachia ngazi? Unless hujutambui ndio utakubali kuwa na wewe upo upo tu kwenda kuhudhulia mazishi!! A vice Presidaa is a president in waiting hivyo ni Lazima ajitambue ama sivyo atakuwa poyoyo tu.
 
Vya Bure vina gharama,Ndio Jiwe alikotufikisha huku na wakandarasi wa mfukoni.

Hata kwenye bwawa bila mchina Mwarabu angesanda.

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1708741101954457728?t=C_CSeGvfB-b0emOEsjVblg&s=19
 
naona bado hujaamka endelea kuchapa usingizi
 
Na hapa ndipo tunapoendelea kuthibitisha kwamba wengi waliopata fursa ya uongozi nchii hawana uwezo kiuongozi.Uongozi kwa wengi wao ni viatu vikubwa mno.
 
Kazi ya mwanaume akipewa mwanamke au mvulana haya ndiyo huwa matokeo.

BTW:Si bora wasake pesa kwa ajili ya kununua mitambo mipya ya TANESCO tupate umeme wa uhakika.
 
Daraja linaendelea kwani mkandarasi ni kampuni ya serikali ya China. Wao wasipolipwa kwa wakati uendelea na kazi na kuhamishia madeni yao kwenye mkopo wa inchi (deni la taifa).
Mafia-style.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…