STEPHEN JIBE
Member
- Jan 23, 2013
- 61
- 9
Swali lako la kwanza ni Ukweli kabisa,kinyonga anapotaka kujifungua ni lazima apande juu ya mti mrefu na kujiangusha ili apasuke tumbo na mtoto atoke.
Hapo mama mtu hufa na mtoto huendelea kuishi.
Na ndio maana kuna methali isemayo "huuawa na uzao waje" ambalo jibu ni Kinyonga.
Kuhusu swali lako la pili,sina uhakika nalo sana japo nami nimewahi kusikia hayo.
Madame B, hizo zilikuwa tu ni hadithi za mapokeo, ni vyema kufanya utafiti kama wenzetu na kupata ukweli kuliko kuishi kwa imani za kale ambazo nyingine zilitengenezwa tu kama hadithi za kufikirika.Swali lako la kwanza ni Ukweli kabisa,kinyonga anapotaka kujifungua ni lazima apande juu ya mti mrefu na kujiangusha ili apasuke tumbo na mtoto atoke.
Hapo mama mtu hufa na mtoto huendelea kuishi.
Na ndio maana kuna methali isemayo "huuawa na uzao waje" ambalo jibu ni Kinyonga.
Kuhusu swali lako la pili,sina uhakika nalo sana japo nami nimewahi kusikia hayo.
Habari wana jf,
Nina maswal mawili yanayonichanganya kchwa chang ktk maisha yang;
1.nimesikia kwamba kinyonga anapozaa huwa amapanda kwenye mti mrefu na kujiachia na tumbo kupasuka watoto kutoka na mama hufa.
2.Ni kweli kua kunguru hana damu?
Kwenye red; kinyonga amekuwa mtu!Hapo mama mtu hufa na mtoto huendelea kuishi.
kunguru anayo damu ila kiwango chake ni kidogo. hiyo kukanyaga waya za umeme ni kuwa anakanyaga waya mmoja sio mbili kwa hiyo sakiti(circuit) inakuwa haijakamilika.angekuwa na uwezo wa kukanyaga nyaya zote mbili angemalizwa mara moja. nimeshaona kunguru akipigwa shoti kwenye transformer.
we jamaa mtuma mada acha uvivu umeshndwa hata kugoogle tu?
Jay Jay hebu wewe kashike waya mmoja tena ule usio na ganda la plastik uone kama hiyo sakiti haotakamilika
kunguru anayo damu ila kiwango chake ni kidogo. hiyo kukanyaga waya za umeme ni kuwa anakanyaga waya mmoja sio mbili kwa hiyo sakiti(circuit) inakuwa haijakamilika.angekuwa na uwezo wa kukanyaga nyaya zote mbili angemalizwa mara moja. nimeshaona kunguru akipigwa shoti kwenye transformer.
Jay Jay hebu wewe kashike waya mmoja tena ule usio na ganda la plastik uone kama hiyo sakiti haotakamilika
umeshawahi kujiuliza kwa nini tunashauriwa kuvaa viatu au kandambili tunavyoshika vifaa vya umeme hasa friji, oven. jaribu kuulizia huenda ukaelewa.