Je, ni kweli kinyonga hupasuka na kunguru hana damu?

Je, ni kweli kinyonga hupasuka na kunguru hana damu?

Jibu la swali la kwanza






Jibu la swali la pili

Kama ana moyo na mapafu na anakunywa maji, basi uwezekano wa kuwa na damu ni mkubwa.
 
Swali lako la kwanza ni Ukweli kabisa,kinyonga anapotaka kujifungua ni lazima apande juu ya mti mrefu na kujiangusha ili apasuke tumbo na mtoto atoke.

Hapo mama mtu hufa na mtoto huendelea kuishi.
Na ndio maana kuna methali isemayo "huuawa na uzao waje" ambalo jibu ni Kinyonga.

Kuhusu swali lako la pili,sina uhakika nalo sana japo nami nimewahi kusikia hayo.
Kinyonga hafi ili kuzas hiyo ni nadharia tuu boss
 
Back
Top Bottom