jay jay yupo sahihi,umeme una namba..1-5.huwezi kunasa kwa kushika namba mojaUnatetea kitu ambacho nahisi hukifahamu vizuri...kunguru ana miguu miwili...current ikipita kwa mguu mmoja inaenda kwa mguu mwingine inaenda zake(closed circuit)...sasa huu waya mmoja we unaousema ni upi?
Hembu jaribu kushika high voltage wire kwa kidole chako tu halafu uje hapa jamvini kutoa ushuhuda, Jaribu kutofautisha kati ya vifaa vya umeme na waya unaopitisha umeme!!
jay jay yupo sahihi,umeme una namba..1-5.huwezi kunasa kwa kushika namba moja
Kwa umeme huu wa nyumbani ambao ni 220v-240kwa kila namba,na'kunguru yy anakanyaga namba moja,ila utarushwa tu
.....karibu kama hujaelewa
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo kuhusu
Kunguru ni kuwa ana damu ila huenda
uliwahi kumwona kwenye nyaya za umeme
amesimama na hakunasa.
Ni kuwa kwenye miguu yake kuna magamba
yanayomfanya hata asimama kwenye nyaya
inakuwa km vile mti mkavu. Lakini mwili
wake wote una damu.
Kiasi naweza kuwa nimekuelewesha ila
watakuja wengine na mambo mazuri ili
nasi tuyajue ya Kunguru.
Kuhusu Kinyonga hata nami huwa nasikia
hii habari ila nami naungana nawe kungoja
majibu sasa.
Nashukuru kwa taarifa lakini kwanini iwe ni kunguru tu...ndege kama popo hunasa why? Ntafurahi nikieleweshwa
Swali lako la kwanza ni Ukweli kabisa,kinyonga anapotaka kujifungua ni lazima apande juu ya mti mrefu na kujiangusha ili apasuke tumbo na mtoto atoke.
Hapo mama mtu hufa na mtoto huendelea kuishi.
Na ndio maana kuna methali isemayo "huuawa na uzao waje" ambalo jibu ni Kinyonga.
Kuhusu swali lako la pili,sina uhakika nalo sana japo nami nimewahi kusikia hayo.
Nashukuru kwa taarifa lakini kwanini iwe ni kunguru tu...ndege kama popo hunasa why? Ntafurahi nikieleweshwa
mkuu nadhani hiyo underlined inakuhusu sana wewe kuliko yeye. asanteUnatetea kitu ambacho nahisi hukifahamu vizuri...kunguru ana miguu miwili...current ikipita kwa mguu mmoja inaenda kwa mguu mwingine inaenda zake(closed circuit)...sasa huu waya mmoja we unaousema ni upi?
Hembu jaribu kushika high voltage wire kwa kidole chako tu halafu uje hapa jamvini kutoa ushuhuda, Jaribu kutofautisha kati ya vifaa vya umeme na waya unaopitisha umeme!!
Habari wana jf,
Nina maswal mawili yanayonichanganya kchwa chang ktk maisha yang;
1.nimesikia kwamba kinyonga anapozaa huwa amapanda kwenye mti mrefu na kujiachia na tumbo kupasuka watoto kutoka na mama hufa.
2.Ni kweli kua kunguru hana damu?
kunguru anayo damu ila kiwango chake ni kidogo. hiyo kukanyaga waya za umeme ni kuwa anakanyaga waya mmoja sio mbili kwa hiyo sakiti(circuit) inakuwa haijakamilika.angekuwa na uwezo wa kukanyaga nyaya zote mbili angemalizwa mara moja. nimeshaona kunguru akipigwa shoti kwenye transformer.
niliwahi kuwa mwalimu veta wa umeme, hii ya umeme kua na namba 1-5 ndo nasikia! acheni mambo ya kwenye kahawa, ktk utaalamu. ndege yeyote hanaswi katika waya, sababu yeye hutua juu ya waya mmoja tu, hivo hafanyi complete circuit, akiwa mkubwa saa anatua au anaondoka akagusa waya ya pili kwa mabawa anapigwa shot,anakua amekamilisha complete circuit. jaribu kusimama juu ya ubao, uwe mkavu, ukigusa waya mmoja tu hutapata madhara,jay jay yupo sahihi,umeme una namba..1-5.huwezi kunasa kwa kushika namba moja
Kwa umeme huu wa nyumbani ambao ni 220v-240kwa kila namba,na'kunguru yy anakanyaga namba moja,ila utarushwa tu
.....karibu kama hujaelewa
Mnasahau kitu kimoja.. ili patoke short circuit, ni lazima moja ya hayavyafuatayo yatokee..jamani mbona wasahaulifu hivyo,kunguru kwenye vidole vyake kuna kama 'cover' ya plastick ambayo inamsaidia kusiwe na mawasiliano kati yake na 'phase' ila juu kidogo ile plastiki ile'plastick inaishia ndo maana wakati mwingine akitua vibaya kwenye 'nakeod phase' habari anaipata,hana tofauti na miguu ya kuku wa kienyeji...kwa wale wanaowanyonyoa kikwetu wanajua..lakini wale wa kufanyiwa kila kitu daa hili
Limewapita....
Uechanganya madesa.. kina chomwokoa kunguru siyo high resistance ya magamba yake...bali ni kwa kugusa only a single phase ...Nyayo za kunguru ni kavu mno, damu ni almost negligible kwenye nyayo za kunguru. Pia nyayo za kunguru zina magamba ambayo yana very high resistance kwa umeme. Ni tabia za umeme kama kuna njia mbili za kupita, umeme mwingi utapita kwenye njia ambayo ina low resistance na kuacha ile yenye very high resistance (aIu kupita kidogo mno). Tabia hii inamfanya kunguru kuwa salama akitua kwenye nyaya za umeme wa kawaida. Mara chache huwa wanapigwa shoti kwenye umeme mkubwa kama ule unaotoka moja kwa moja kidatu kabla haujapunguzwa nguvu.
Nyayo za popo ni tofauti sana na za kunguru. Popo anadamu nyingi zaidi kwenye nyayo.