Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu.Baby, can I give you a surprise?
Mtoto, unataka nikupe mshangao?
Tunakifanyaje kiwe na mvuto wa kimahaba...Si kweli! Kiswahili kipo Tanzania na sio romantic,kwani mkuu hujui kiswahili kilianzia wapi..?
Kiswahili ni lugha inayopatikana Afrika mashariki hususani Tanzania huko Roma wanazungumza lugha zao ila na kiswahili kwa uchache hivyo kiswahili pia kinapatikana roma japo kwa uchache mfinyu Sana hivyo ni jukumu letu kisaidia kiswahili kufika huko romantic.
Ahaa sikuelewa ndo tabu ya kunyoa kipara sitanyoa Tena😎Tunakifanyaje kiwe na mvuto wa kimahaba...
Tuachane na MAKABURU..
Jibu.
Awwww baby, What a surprise!!!!! Thank you.
Loooh baby, mbona mshangao. Asante sana.
Sabalheri La-Aziz! Wajionaje hali?Wapi watoto wa Pemba... Pangani..
Kiswahili fasahaa
Nimekuham..!! HaahaAhaa sikuelewa ndo tabu ya kunyoa kipara sitanyoa Tena😎
Mbona lugha yetu imekaa kimahaba! Tatizo linapokuja mnataka zile tafsiri za kimahaba ktk lugha nyengine mnataka mzitafsiri kwa kiswahili na zi sounds kimahaba!! Hilo ni kosa!!
Kila lugha kuna namna inavyo tamkwa na inasifa zake kimatamshi..
Pia mnapotafsiri angalieni sana maana na sio maneno mfano kwa kiingeleza mtu akisema "I miss you!" Ukitafsiri kichwa kichwa mtu unaweza sema "nimekukosa"😂 lkn neno zuri hapo na tamu ni "nimekuhamu" au Nina hamu na wewe" mbona inasound good na ipo romantic..
Lugha pia inaeleza tamaduni mfano sisi haswa Afrika hatuna tamaduni za kusheherekea siku za kuzaliwa ni tumerithi tu! Pia mapenzi sio Jambo la kuonyeshana hadharani kama wenzetu na ndio maana unaona tunakosa baadhi ya misamiati ya kimahaba ila natumai ikawepo kwenye kamusi za kiswahili.. lugha huongea tamaduni za watu husika.
Tusitafsiri tu neno bali maana surprise mtu unasema mshangao wkt alietamka anamaanisha zawadi!!
Kiswahili ni kitamu sana haswa ukikutana kwenye nyanja ya mashairi ya kimahaba..
Hata wkt wa tendo lenyewe kuna baadhi ya maneno mtoto wa kike akiisema dah! Unajihisi dunia yote ni yako hapo hata kama ulikuwa huna hamu itakuja tu😂.. mkuu kuna vitu havisemeleki hata havielezeki mtoto unakuta anakuambia "mpenzi weka yote" "taratibu",unaniumiza anatoa na tumguno fulani tutamutamu hlf unaniambia lugha yetu haipo romantic kwa kufuata misingi ya lugha nyengine hapo sikuelewi😜
Sio kweliNi kweli?
Lets share.