Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?

Mtu anatoa sadaka ku wa hadharani hadi unashangaa ?! Kumbe mlango wa nyuma inarudi
Unatoa milioni 100 kama msaada au sadaka, inaenda kwenye account ya kanisa pasta anatoa milioni 90 anakurudishia anabaki na milioni 10 ya kiona macho. Wajinga wanabaki wakishangilia yesu anafanya miujiza. Inasikitisha sana
 
KKKT tangu zamani ni mabepari na sehemu ilipojikita mizizi huwa kuna maendeleo tofauti ba RC wajamaa.

Mahubiri ya KKKT yanewajenga sana kuwa na moyo wa kujitolea,RC miaka mingi walitegemea misaada toka ulaya

Sasa misaada ulaya imepungua wanashangaa spirit ya utoaji wa KKKT
Kwahiyo unataka tuamin kwamba KKKT ana maendeleo makubwa kuliko CATHOLIC?
 
Kashfa ya Money Laundering ya Kkkt na ujamaa wa RC vinahusiana vipi ?
 
Mada kama hizi tuwache kuposti, waacheni wapige hela , hata ww ulipo ungepata chance najua mwendo ni ule ule , kama hela sio ya rushwa serkalini au ya kina yakhee , tatizo lipo wapi ?
 
Kashfa ya Money Laundering ya Kkkt na ujamaa wa RC vinahusiana vipi ?
Mbona una ubongo mzito hivyo.RC walitegemea misaada toka Vatcan na ulaya jwa jumla,hawajufundishwa upambanaji.
Wakutheri wamefundishwa kutoa,si ajabu mtu mmoja kucgangia mamilioni kanisani ambapo itaobekaba kama ni money laundering
 
Kwahiyo unataka tuamin kwamba KKKT ana maendeleo makubwa kuliko CATHOLIC?
Hujanielewa,RC ni dominant wako wengi sana ila maendeleo yao yalitegemea misaada wana mizizi mizuri ya uchumi,shule,hospitali,makanisa makubwa etc.
Walutheri ni dhehebu la pili kwa ukubwa na wamefika hapo kwa asilimia kubwa kwa kujitolea wenyewe sadaka kuliko misaada.
 
Mbona una ubongo mzito hivyo.RC walitegemea misaada toka Vatcan na ulaya jwa jumla,hawajufundishwa upambanaji.
Wakutheri wamefundishwa kutoa,si ajabu mtu mmoja kucgangia mamilioni kanisani ambapo itaobekaba kama ni money laundering
Hiyo RC ya wapi bwashee, mimi nimesoma shule ya RC, kwa kiasi kikubwa tulikuwa tunajitegemea kwa kila kitu, nashindwa kukuelewa unaposema walizoeshwa misaada, anyway usidhani hatujui ukaribu uliopo kati ya hilo genge lenu na waanzilishi wake kutoka Ujerumani.
 
Kasi ya ukuwaji ya KKKT inaitisha RC hilo tunalielewa.

Tena tuna vuna waumini toka RC.

Mungu ni mwema.
 
Hujanielewa,RC ni dominant wako wengi sana ila maendeleo yao yalitegemea misaada wana mizizi mizuri ya uchumi,shule,hospitali,makanisa makubwa etc.
Walutheri ni dhehebu la pili kwa ukubwa na wamefika hapo kwa asilimia kubwa kwa kujitolea wenyewe sadaka kuliko misaada.
Acha uwongo wako bro makanisa yote yalitegemea misaada kutoka ulaya na america

Sema kwamba KKKT kwa sababu ni wachache hivyo ina walazimu watumie nguvu kubwa sana ya ziada ili waonekane kuwa wamefanya kitu tofaut na CATHOLIC wao wana vyanzo vingi vya pesa na muumini mmoja mmoja wako wako vizur

Kuna mtu mmoja tu anaweza akajitolea akachonga mabenchi yote ya kanisa
 
Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?
Ni wazi watu wengi hawaelewi maana ya utakatishaji fedha (money laundering).

Utakatishaji fedha hutokea pale unapofanya kwanza biashara haramu mfano kuuza mihadarati, ufisadi, nk, baadaye ukachukua pesa haramu iliyopatikana huko ukaingiza kwenye biashara zako halali, ili baadaye pesa yako ionekane imetokana na vyanzo halali.

Hivyo, kutoa au kupokea sadaka kwenye ibada hakuwezi kuwa 'money laundering'.
 
Hata Mimi nikataka nishangae hii imekuwa vipi
 
Ni wazi watu wengi hawaelewi maana ya utakatishaji fedha (money laundering).

Utakatishaji fedha hutokea pale unapofanya kwanza biashara haramu mfano kuuza mihadarati, ufisadi, nk, baadaye ukachukua pesa haramu iliyopatikana huko ukaingiza kwenye biashara zako halali, ili baadaye pesa yako ionekane imetokana na vyanzo halali.

Hivyo, kutoa au kupokea sadaka kwenye ibada hakuwezi kuwa 'money laundering'.
Itakuwa money laundering kama mtu atatoa ile sadaka, halafu inaingia kwenye account ya kanisa then inatolewq kinyemela kurudi kwa huyo mtu ambaye hela yake kaipata kwa rushwa, ulanguzi etc . Then anaizungusha kwa biashara halali.
 
Hakuna kitu kama hicho.
Haiwezekani utoe sadaka halafu tena upewe hiyo sadaka, wao hawana kazi nayo?!!
 
Back
Top Bottom