Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?

Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?

Acha uwongo wako bro makanisa yote yalitegemea misaada kutoka ulaya na america


Sema kwamba KKKT kwa sababu ni wachache hivyo ina walazimu watumie nguvu kubwa sana ya ziada ili waonekane kuwa wamefanya kitu tofaut na CATHOLIC wao wana vyanzo vingi vya pesa na muumini mmoja mmoja wako wako vizur

Kuna mtu mmoja tu anaweza akajitolea akachonga mabenchi yote ya kanisa
Watu wakimtolea Mungu wewe inakuuma nini?

Si na nyie mtoe.
 
Wivu tu unawasumbua.
Wapi sadaka zikitolewa haziliwi na viongozi wa taasisi hiyo?. .

Ukisikia mtu anamtolea Mungu sadaka unadhani hiyo sadaka italiwa na Mungu au binadamu?..

Mimi siyo muumini wa KKKT lakini ninachoona kinachowaumiza ni siasa za maji taka mnazotaka kuzihusisha na KKKT.

Kama hoja ni ulafi wa madaraka au fedha hilo ni tatizo la kiongozi binafsi na siyo la taasisi.
Hawa si ndio wamesema MAZA MI5 TENA au?
 
Nimeona huu mjadala
Mahala. Kama KKKT wanatakatisha fedha ni vema serikali iwachunguze Maana hawalipi kodi hawa.

Pia hawa wasamaria wanaoleta hizi taarifa inabidi serikali iwalinde wasije wakadhurika

View attachment 3138750View attachment 3138751View attachment 3138752
nimefuatilia huu mjadala kwenye twitter. Huyo dada aliongea hivo kashushuliwa kweli mpaka kafuta tweet. Hizi ni hujma za roman catholic. Kanisa kkkt ni watoaji mno, shetani yuko kazini kuua spirit ya utoaji kwa waumini. Sio rahisi kutoa fedha account ya kanisa bila wazee wa kanisa wote kujua.
 
Hujanielewa,RC ni dominant wako wengi sana ila maendeleo yao yalitegemea misaada wana mizizi mizuri ya uchumi,shule,hospitali,makanisa makubwa etc.
Walutheri ni dhehebu la pili kwa ukubwa na wamefika hapo kwa asilimia kubwa kwa kujitolea wenyewe sadaka kuliko misaada.
Sasa mkuu mbona unaongelea yaliyopita? Ni miaka mingapi sasa hivi RC hawapati tena direct support kutoka Vatican? Huwezi kuwalinganisha KKKT na RC kwa sasa!
 
Most Churches, Mosques and the likes do it.... hata Vatican ilitumika kusafisha pesa za NAZIS kipindi cha vita vya dunia...
 
Back
Top Bottom