Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Watu wakimtolea Mungu wewe inakuuma nini?Acha uwongo wako bro makanisa yote yalitegemea misaada kutoka ulaya na america
Sema kwamba KKKT kwa sababu ni wachache hivyo ina walazimu watumie nguvu kubwa sana ya ziada ili waonekane kuwa wamefanya kitu tofaut na CATHOLIC wao wana vyanzo vingi vya pesa na muumini mmoja mmoja wako wako vizur
Kuna mtu mmoja tu anaweza akajitolea akachonga mabenchi yote ya kanisa
Si na nyie mtoe.