MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Unatoa milioni 100 kama msaada au sadaka, inaenda kwenye account ya kanisa pasta anatoa milioni 90 anakurudishia anabaki na milioni 10 ya kiona macho. Wajinga wanabaki wakishangilia yesu anafanya miujiza. Inasikitisha sanaMtu anatoa sadaka ku wa hadharani hadi unashangaa ?! Kumbe mlango wa nyuma inarudi
Kwahiyo unataka tuamin kwamba KKKT ana maendeleo makubwa kuliko CATHOLIC?KKKT tangu zamani ni mabepari na sehemu ilipojikita mizizi huwa kuna maendeleo tofauti ba RC wajamaa.
Mahubiri ya KKKT yanewajenga sana kuwa na moyo wa kujitolea,RC miaka mingi walitegemea misaada toka ulaya
Sasa misaada ulaya imepungua wanashangaa spirit ya utoaji wa KKKT
Kashfa ya Money Laundering ya Kkkt na ujamaa wa RC vinahusiana vipi ?KKKT tangu zamani ni mabepari na sehemu ilipojikita mizizi huwa kuna maendeleo tofauti ba RC wajamaa.
Mahubiri ya KKKT yanewajenga sana kuwa na moyo wa kujitolea,RC miaka mingi walitegemea misaada toka ulaya
Sasa misaada ulaya imepungua wanashangaa spirit ya utoaji wa KKKT
Mbona una ubongo mzito hivyo.RC walitegemea misaada toka Vatcan na ulaya jwa jumla,hawajufundishwa upambanaji.Kashfa ya Money Laundering ya Kkkt na ujamaa wa RC vinahusiana vipi ?
Hujanielewa,RC ni dominant wako wengi sana ila maendeleo yao yalitegemea misaada wana mizizi mizuri ya uchumi,shule,hospitali,makanisa makubwa etc.Kwahiyo unataka tuamin kwamba KKKT ana maendeleo makubwa kuliko CATHOLIC?
Hiyo RC ya wapi bwashee, mimi nimesoma shule ya RC, kwa kiasi kikubwa tulikuwa tunajitegemea kwa kila kitu, nashindwa kukuelewa unaposema walizoeshwa misaada, anyway usidhani hatujui ukaribu uliopo kati ya hilo genge lenu na waanzilishi wake kutoka Ujerumani.Mbona una ubongo mzito hivyo.RC walitegemea misaada toka Vatcan na ulaya jwa jumla,hawajufundishwa upambanaji.
Wakutheri wamefundishwa kutoa,si ajabu mtu mmoja kucgangia mamilioni kanisani ambapo itaobekaba kama ni money laundering
Acha uwongo wako bro makanisa yote yalitegemea misaada kutoka ulaya na americaHujanielewa,RC ni dominant wako wengi sana ila maendeleo yao yalitegemea misaada wana mizizi mizuri ya uchumi,shule,hospitali,makanisa makubwa etc.
Walutheri ni dhehebu la pili kwa ukubwa na wamefika hapo kwa asilimia kubwa kwa kujitolea wenyewe sadaka kuliko misaada.
Uongo wewe hakuna unachojua kuhusu RC undercover missionaries reconaissance-in-force, huwajui hata roboKKKT tangu zamani ni mabepari na sehemu ilipojikita mizizi huwa kuna maendeleo tofauti ba RC wajamaa.
Ni wazi watu wengi hawaelewi maana ya utakatishaji fedha (money laundering).Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?
Hata Mimi nikataka nishangae hii imekuwa vipiNi wazi watu wengi hawaelewi maana ya utakatishaji fedha (money laundering).
Utakatishaji fedha hutokea pale unapofanya kwanza biashara haramu mfano kuuza mihadarati, ufisadi, nk, baadaye ukachukua pesa haramu iliyopatikana huko ukaingiza kwenye biashara zako halali, ili baadaye pesa yako ionekane imetokana na vyanzo halali.
Hivyo, kutoa au kupokea sadaka kwenye ibada hakuwezi kuwa 'money laundering'.
Itakuwa money laundering kama mtu atatoa ile sadaka, halafu inaingia kwenye account ya kanisa then inatolewq kinyemela kurudi kwa huyo mtu ambaye hela yake kaipata kwa rushwa, ulanguzi etc . Then anaizungusha kwa biashara halali.Ni wazi watu wengi hawaelewi maana ya utakatishaji fedha (money laundering).
Utakatishaji fedha hutokea pale unapofanya kwanza biashara haramu mfano kuuza mihadarati, ufisadi, nk, baadaye ukachukua pesa haramu iliyopatikana huko ukaingiza kwenye biashara zako halali, ili baadaye pesa yako ionekane imetokana na vyanzo halali.
Hivyo, kutoa au kupokea sadaka kwenye ibada hakuwezi kuwa 'money laundering'.
Hakuna kitu kama hicho.Itakuwa money laundering kama mtu atatoa ile sadaka, halafu inaingia kwenye account ya kanisa then inatolewq kinyemela kurudi kwa huyo mtu ambaye hela yake kaipata kwa rushwa, ulanguzi etc . Then anaizungusha kwa biashara halali.
Wewe hujui michezo michafu. Haya yanafanyika sana sehemu mbalimbali. Kutumia makanisa kutakatisha fedha ipo sanaHakuna kitu kama hicho.
Haiwezekani utoe sadaka halafu tena upewe hiyo sadaka, wao hawana kazi nayo?!!
acha bangiKasi ya ukuwaji ya KKKT inaitisha RC hilo tunalielewa.
Tena tuna vuna waumini toka RC.
Mungu ni mwema.