Je, ni kweli kombora la nuclear halizuiliki?

Searching for the truth

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2022
Posts
903
Reaction score
1,851
Hi guys 🙂

Nafikiri ni takribani miaka 78 sasa, tangu silaha za nuclear (atomic) zianze kuwepo duniani.

Uharibifu unaoweza kufanywa na silaha hizi ni kana kwamba hauelezeki (ni maafa makubwa mno).

Kumekuwa na stori nyingi kwamba silaha hizi haziwezi kuzuiwa na mfumo wowote wa ulinzi wa anga pale zinaporushwa kwenye target husika.

Na wasomi wengi wanasema hakutakuwa na mshindi kwenye vita vya nuclear, especially kati ya Marekani na Urusi (maana ndiyo wenye store kubwa).

Nimejaribu kutafti kwenye majarida ya kisayansi lakini nao hawajatoa majibu ya moja kwa moja.

Majibu yao yamekuwa ni "There is no specific physics formular of intercepting nuclear missile but you can challenge it".

NIkasoma zaidi wakasema kwamba, mpaka sasa hakuna mfumo wowote wa ulinzi wa anga duniani unaoweza kuharibu kombora la nuclear ila unaweza tu kulipa changamoto labda kwa kujaribu kuligeuza mwelekeo wake, lakini hata hivo maamuzi hayo yanatakiwa yafanywe chini ya dakika 4 tu tangu kombora hilo limerushwa na tofauti na hapo huwezi kuli challenge.

Swali langu kwenu, Je ni kweli hakuna Anti-nuclear missile defence system duniani ?

Maana tumeona mokombora au silaha zingine zikidakwa na kuharibiwa na mifumo ya anga kabla ya kufikia malengo yake, ndege zisizo na rubani pia tumeona zikiharibiwa na mifumo ya anga.

Je, iweje mpaka sasa ni mwaka wa 78 tangu silaha za nuclear zimeundwa, eti mfumo wa ulinzi wa anga wa kuharibu haya makombora haujapatikana ? Wanasayansi wako wapi ?

Au walivyokufa watengenezaji kina Albert Einstein ndo hakuna waendelezaji tena ?

Nawasilisha.
 
Zinazuilika kwa kuzitungua kabla hazijafika kwenye anga la nchi yako.

Mfano zikirushwa kutoka Marekani kwenda Urusi, basi mifumo iliyo ya kiotomatic ya s400 inaweza kuzitambua na kuzisambaratisha zikiwa umbali wa kilomita 0-400 kutoka kwenye mipaka ya Urusi.
S450 na s500 inaweza kuzitambua na kuzilipua zikiwa angani umbali zaidi ya hapo.
Vivyo hivyo upande wa pili wanayo mifumo yao ya patriot, thaad, iris nk.
Lakini kumbuka upande wa pili hawawezi kudondosha silaha zenye speed kali (hipersonic) kama alizo nazo Urusi, China na Iran. Hivyo ikitokea la kutokea kila mwenye utimamu anaelewa mizani imelalia wapi.

Tukumbuke pia zikilipuliwa zikiwa mbali sio kwamba hazitokuwa na madhara kwa binadamu, bali mionzi itaendelea kuwakaanga viumbe wanaoishi chini ya anga ambalo silaha hizo za nyuklia zimelipuliwa na mifumo ya ulinzi zikiwa bado angani.

Chukulia mfano limetumwa bomu la nyuklia kutokea Uingereza likielekea Urusi, ila mifumo ya ulinzi ya Urusi iliyo kwenye ardhi ya Kaliningrad ikalilipua likiwa juu ya anga ya Poland, Germany, au Latvia, basi wananchi, mimea, wanyama na wadudu wa maeneo hayo itabidi wapambane na mionzi ya nyuklia huku walengwa ambao ni warussia wakiendelea kula bata.

Kwenye vita moto kwa kizazi hiki inatakiwa uweze kuzuia silaha za adui kabla hazijafika kwako, na jambo la pili inatakiwa uweze kufikisha moto kwa adui wakati wowote ukihitaji.

Kwahiyo kwa kifupi kulingana na swali lako ni kwamba, madhara ya nyuklia hayaziuliki kwa viumbe bali mlengwa anaweza kuzidungua zikiwa kwenye anga za majirani alafu majirani wanakiona cha moto na wakati huohuo mlengwa akirudisha moto mkali zaidi kule bomu lilikotokea
 
Mr putin malizia vodka yako twende tukakupe update ya counter offensive ya "manazi"
 
Kwahiyo kwa kifupi kulingana na swali lako ni kwamba, madhara ya nyuklia hayaziuliki kwa viumbe bali mlengwa anaweza kuzidungua zikiwa kwenye anga za majirani alafu majirani wanakiona cha moto.
kwa kiasi flani umenijibu swali langu.

lakini majibu yako yanaonesha kwamba yanazuilika iwapo yatawahiwa kabla ya kufikia target husika.

lakini kisayansi naona wanasema kana kwamba hamna Air defence ya kuzuia kombora la nuclear.

hii maana yake ni inaweza kupenya mfumo wowote wa ulinzi wa anga
 
Nuclear bomb ni bomb km bomb lolote ila kinachobeba ilo bomb zile missile ndio inatakiwa uziintercept sasa just imagine mfano hypersonic aliyozindua juzi Iran inakwenda speed zaidi ya sauti🤣🤣🤣🙌🙌

Yaani nikiita putin kabla hujasikia ushakula chuma tiari
Fattah ya Iran ina speed mara 3 mpaka 5 ya sauti (Yaani March 3-5).

wakati Urusi ina Avangard, ina Satan 2 ambayo mengine speed yake ni mpaka MARCH 25 -27 ya sauti.

Bado mchina ana DF-41 ambayo nayo ni march 27 nadhani
 
kwa kiasi flani umenijibu swali langu.

lakini majibu yako yanaonesha kwamba yanazuilika iwapo yatawahiwa kabla ya kufikia target husika.

lakini kisayansi naona wanasema kana kwamba hamna Air defence ya kuzuia kombora la nuclear.

hii maana yake ni inaweza kupenya mfumo wowote wa ulinzi wa anga
Tuelewane kitu kimoja! Kinacholifanya liitwe bomu la nyuklia ni ile urenium iliyomo ndani ya tumbo lake ambayo imepitia kiwandani katika mahesabu maalum.
Kinachotakiwa kujadiliwa hapa ni injini ya kufikisha huo mlipuko+sumu sehemu husika bila kuzuiliwa.

Kwa maana hiyo kinachowaumiza wataalamu wa haya mabomu kwa sasa sio kutengeza bomu hatari la nyuklia bali kinachowaumiza ni injini yenye uwezo wa kuifikisha hiyo nyuklia sehemu husika huku ikikwepana na mifumo ya ulinzi ya adui.

Air defense za kuyazuia haya mabomu inategemea una air defense ipi na ni bomu gani umetumiwa. Kwa mabomu ambayo ni magumu kudunguliwa mpaka muda huu ni haya yenye injini yenye speed kali mara kadhaa zaidi ya sauti. Kwa kimombo injini hizi zikishafungwa kwenye bomu, bomu hilo linaitwa bomu la hypersonic
 
Zinazuilika kwa kuzitungua kabla hazijafika kwenye anga la nchi yako.

Mfano zikirushwa kutoka Marekani kwenda Urusi, basi mifumo iliyo ya kiotomatic ya s400 inaweza kuzitambua na kuzisambaratisha zikiwa umbali wa kilomita 0-400 kutoka kwenye mipaka ya Urusi.
S450 na s500 inaweza kuzitambua na kuzilipua zikiwa angani umbali zaidi ya hapo.
Vivyo hivyo upande wa pili wanayo mifumo yao ya patriot, thaad, iris nk.
Lakini kumbuka upande wa pili hawawezi kudondosha silaha zenye speed kali (hipersonic) kama alizo nazo Urusi, China na Iran. Hivyo ikitokea la kutokea kila mwenye utimamu anaelewa mizani imelalia wapi.

Tukumbuke pia zikilipuliwa zikiwa mbali sio kwamba hazitokuwa na madhara kwa binadamu, bali mionzi itaendelea kuwakaanga viumbe wanaoishi chini ya anga ambalo silaha hizo za nyuklia zimelipuliwa na mifumo ya ulinzi zikiwa bado angani.

Chukulia mfano limetumwa bomu la nyuklia kutokea Uingereza likielekea Urusi, ila mifumo ya ulinzi ya Urusi iliyo kwenye ardhi ya Kaliningrad ikalilipua likiwa juu ya anga ya Poland, Germany, au Latvia, basi wananchi, mimea, wanyama na wadudu wa maeneo hayo itabidi wapambane na mionzi ya nyuklia huku walengwa ambao ni warussia wakiendelea kula bata.

Kwenye vita moto kwa kizazi hiki inatakiwa uweze kuzuia silaha za adui kabla hazijafika kwako, na jambo la pili inatakiwa uweze kufikisha moto kwa adui wakati wowote ukihitaji.

Kwahiyo kwa kifupi kulingana na swali lako ni kwamba, madhara ya nyuklia hayaziuliki kwa viumbe bali mlengwa anaweza kuzidungua zikiwa kwenye anga za majirani alafu majirani wanakiona cha moto na wakati huohuo mlengwa akirudisha moto mkali zaidi kule bomu lilikotokea
Nani kakueleza kuwa m-U.S.A hana hypersonic missile au kwavile yeye hafanyi show off......Ngoja mrusi ajichanganye,kwani nani alifahamu kuwa mjapani angelikuja kulia kama mtoto?....
 
Hi guys 🙂

Nafikiri ni takribani miaka 78 sasa, tangu silaha za nuclear (atomic) zianze kuwepo duniani.

Uharibifu unaoweza kufanywa na silaha hizi ni kana kwamba hauelezeki (ni maafa makubwa mno).

Kumekuwa na stori nyingi kwamba silaha hizi haziwezi kuzuiwa na mfumo wowote wa ulinzi wa anga pale zinaporushwa kwenye target husika.

Na wasomi wengi wanasema hakutakuwa na mshindi kwenye vita vya nuclear, especially kati ya Marekani na Urusi (maana ndiyo wenye store kubwa).

Nimejaribu kutafti kwenye majarida ya kisayansi lakini nao hawajatoa majibu ya moja kwa moja.

Majibu yao yamekuwa ni "There is no specific physics formular of intercepting nuclear missile but you can challenge it".

NIkasoma zaidi wakasema kwamba, mpaka sasa hakuna mfumo wowote wa ulinzi wa anga duniani unaoweza kuharibu kombora la nuclear ila unaweza tu kulipa changamoto labda kwa kujaribu kuligeuza mwelekeo wake, lakini hata hivo maamuzi hayo yanatakiwa yafanywe chini ya dakika 4 tu tangu kombora hilo limerushwa na tofauti na hapo huwezi kuli challenge.

Swali langu kwenu, Je ni kweli hakuna Anti-nuclear missile defence system duniani ?

Maana tumeona mokombora au silaha zingine zikidakwa na kuharibiwa na mifumo ya anga kabla ya kufikia malengo yake, ndege zisizo na rubani pia tumeona zikiharibiwa na mifumo ya anga.

Je, iweje mpaka sasa ni mwaka wa 78 tangu silaha za nuclear zimeundwa, eti mfumo wa ulinzi wa anga wa kuharibu haya makombora haujapatikana ? Wanasayansi wako wapi ?

Au walivyokufa watengenezaji kina Albert Einstein ndo hakuna waendelezaji tena ?

Nawasilisha.
Shida ya hili kombora ni kwamba ata kama utalilipua mionzi yake itasambaa na kuleta adhari,kumbuka ni la mionzi na gesi sumu..
 
Whether a missile (carrying a nuclear warhead or otherwise) can be intercept or not depends on the delivery system, number of missiles fired at once and the effectiveness of the air defense system of the country being attacked.

Most countries have developed ballist missiles and cruise missile as their main delivery systems. Both types of missiles can be intercepted with quite high degree of accuracy using modern layered SAMS.

The problem is, if it's a nuclear war, your enemy is not going to fire one or two missiles, it's going to be a barrage of them (probably hundreds) from submarines, SILOS, bombers etc. Intercepting all of them is nearly impossible, and even if it's just a few that passes through your air defense system it is more than enough to wipe out entire cities in your country.

There is no winning nuclear war, nuclear weapons are simply a deterrent as no country is crazy enough to use them. If you do you can be assured of an equal destruction in your country.
 
Zinazuilika kwa kuzitungua kabla hazijafika kwenye anga la nchi yako.

Mfano zikirushwa kutoka Marekani kwenda Urusi, basi mifumo iliyo ya kiotomatic ya s400 inaweza kuzitambua na kuzisambaratisha zikiwa umbali wa kilomita 0-400 kutoka kwenye mipaka ya Urusi.
S450 na s500 inaweza kuzitambua na kuzilipua zikiwa angani umbali zaidi ya hapo.
Vivyo hivyo upande wa pili wanayo mifumo yao ya patriot, thaad, iris nk.
Lakini kumbuka upande wa pili hawawezi kudondosha silaha zenye speed kali (hipersonic) kama alizo nazo Urusi, China na Iran. Hivyo ikitokea la kutokea kila mwenye utimamu anaelewa mizani imelalia wapi.

Tukumbuke pia zikilipuliwa zikiwa mbali sio kwamba hazitokuwa na madhara kwa binadamu, bali mionzi itaendelea kuwakaanga viumbe wanaoishi chini ya anga ambalo silaha hizo za nyuklia zimelipuliwa na mifumo ya ulinzi zikiwa bado angani.

Chukulia mfano limetumwa bomu la nyuklia kutokea Uingereza likielekea Urusi, ila mifumo ya ulinzi ya Urusi iliyo kwenye ardhi ya Kaliningrad ikalilipua likiwa juu ya anga ya Poland, Germany, au Latvia, basi wananchi, mimea, wanyama na wadudu wa maeneo hayo itabidi wapambane na mionzi ya nyuklia huku walengwa ambao ni warussia wakiendelea kula bata.

Kwenye vita moto kwa kizazi hiki inatakiwa uweze kuzuia silaha za adui kabla hazijafika kwako, na jambo la pili inatakiwa uweze kufikisha moto kwa adui wakati wowote ukihitaji.

Kwahiyo kwa kifupi kulingana na swali lako ni kwamba, madhara ya nyuklia hayaziuliki kwa viumbe bali mlengwa anaweza kuzidungua zikiwa kwenye anga za majirani alafu majirani wanakiona cha moto na wakati huohuo mlengwa akirudisha moto mkali zaidi kule bomu lilikotokea
Tusaidie na hili pia,kwa nn Marekani na Uingeleza na Ujerumani na Ufaransa hawana magwaride ya kuonyesha siraha na uwezo wao wa kijeshi tofauti na Urusi,China na Korea kaskazi kwenye siku maamlumu za kitaifa?
 
Back
Top Bottom