Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Hi guys 🙂
Nafikiri ni takribani miaka 78 sasa, tangu silaha za nuclear (atomic) zianze kuwepo duniani.
Uharibifu unaoweza kufanywa na silaha hizi ni kana kwamba hauelezeki (ni maafa makubwa mno).
Kumekuwa na stori nyingi kwamba silaha hizi haziwezi kuzuiwa na mfumo wowote wa ulinzi wa anga pale zinaporushwa kwenye target husika.
Na wasomi wengi wanasema hakutakuwa na mshindi kwenye vita vya nuclear, especially kati ya Marekani na Urusi (maana ndiyo wenye store kubwa).
Nimejaribu kutafti kwenye majarida ya kisayansi lakini nao hawajatoa majibu ya moja kwa moja.
Majibu yao yamekuwa ni "There is no specific physics formular of intercepting nuclear missile but you can challenge it".
NIkasoma zaidi wakasema kwamba, mpaka sasa hakuna mfumo wowote wa ulinzi wa anga duniani unaoweza kuharibu kombora la nuclear ila unaweza tu kulipa changamoto labda kwa kujaribu kuligeuza mwelekeo wake, lakini hata hivo maamuzi hayo yanatakiwa yafanywe chini ya dakika 4 tu tangu kombora hilo limerushwa na tofauti na hapo huwezi kuli challenge.
Swali langu kwenu, Je ni kweli hakuna Anti-nuclear missile defence system duniani ?
Maana tumeona mokombora au silaha zingine zikidakwa na kuharibiwa na mifumo ya anga kabla ya kufikia malengo yake, ndege zisizo na rubani pia tumeona zikiharibiwa na mifumo ya anga.
Je, iweje mpaka sasa ni mwaka wa 78 tangu silaha za nuclear zimeundwa, eti mfumo wa ulinzi wa anga wa kuharibu haya makombora haujapatikana ? Wanasayansi wako wapi ?
Au walivyokufa watengenezaji kina Albert Einstein ndo hakuna waendelezaji tena ?
Nawasilisha.