matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimekutana na huu mjadala mahala.
Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini.
Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga.
Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend qngalau beach. Utateseka hadi ujute kuzaliwa.
Kuna jamaa alitoka Gomzi ndanindani kuelekea Mcity na familia kuwatoa ushamba kidogo, kurudi hakuna usafiri, na anapesa iliyokamiri. Alifika nyumbani saa sita usiku utadhani alikuwa anatokea Singida kumbe yumo humohumo DSM.
Jamaa hawa walikuwa na pointi kwa kiasi flani. Vinginevyo uamue kuichagua kakona kamoja ka jiji na maosha yako yaishie hapohapo huku sehemu za mbali usubiri kuzisikia redioni.
Ukiwa mikoani hata kwa baiskeli unazunguka kila kona na unafika kila sehemu muhimu kwa masaa.