Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Habari wakuu, nisizunguke sana nirudi kwenye mada.. naomba kufahamu hivi kuna mtu aliyefanikiwa kupitia forex unaemfahamu?

Kuna kijana mmoja anaitwa elikana, navosikia ni miongoni mwa wana hisa wa kampuni ya ma BUS ya usafirisha "ally star Bus" kpindi cha nyuma nilikua naona akihamasisha sana watu kuhusu biashara hiyo kwenye instagram yake.. ni kijana mdogo tu naskia ana Bus zake pale ally's [emoji93]

Je ni kweli hii biashara inalipa? Kuna mtu unaemfahamu alifanikiwa ktk biashara hii?

Elikana kama upo hum naomba ufafanuz je ulifanikiwa kupitia forex mpka kumilika ma BUS
 
Hakuna alifanikiwa kweny soko ila wapo wanaopiga pesa sana kutokana na branding na kufundisha watu huyo elikan ni mwanafunzi wa sirjeff na walishamsalit sirjeff mda sana

Baada ya kujua kwamba forex ni kufundisha ndo unapiga pesa na sio sokoni hapa sirjeff ndoa aliuza ramani kwa machalii wakamkimbia sasa wanamburuza kuna huyo elikana, demu sijui shayo kuna tembo clintztraveller

Kuhusu kumiliki hisa inawezekana kabisa ila sio kwa jmaa jinsi anavyosema mitandaoni kwamba kamiliki yeye binafsi anasema kwamba kamiliki inawezekan ikawa kweli ukiachana na yeye kujinasibu hakuna mtu au kampuni imesema kwamba anamiliki hisi ila watu wanajua hawa jamaa kufanya hii michezo huyu jamaa ata akienda yard za magari akipiga picha anaziba plate number🤣🤣
 
Wanaopiga pesa zinazoeleweka katika forex au financial markets in general hautawasikia humu wako busy wanapiga kwa siri ili kukeep their competitive advantage.

Sadly katika sector hiyo wanaofanikiwa wanachukua pesa za wanaofeli hivyo ukisikia mtu anajitolea kukufundisha watu openly kufanikiwa katika financial markets ultimately japo unaweza kunufaika kiasi (au ukafeli haijalishi), faida kubwa iko kwa huyo anaekufundisha.

Hapa nazungumza kama mtu niliyomo katika financial markets (crypto).
 
Hili la kuwa na hisa ally's star nahis ni kweli mkuu ila huko kwenye forex ananishagaza sana
 
Asnt
 
Hili la kuwa na hisa ally's star nahis ni kweli mkuu ila huko kwenye forex ananishagaza sana
Mkuu hayo mambo ni imagery siwezi kukataa yupo dogo kamtafute insta anaitwa richlitfx ana gari land cruiser kama ya million 200 ivi ila hajawai kuonyesha plate number ya ile gari ila anajinasibu ni yake na ni mtu wa forex

Huyo elikana anadai ila uliona wapi mtu akaweka financial status hadharani kama ivyo uliona wapi mtu ana gari anaficha plate namba gari ndogo ya mil 16 ikushinde ukawekeze hisa kweny mabus makubwa je hao weny mabus walikuwa tangu lin na yeye si wajuzi hapa 2018 tunamuona alienda piga picha kwenye mabus na mwarabu mmoja pale ndo akapost kuna ana hisa

Huyo jeff alishawai kupost nyumba kwamba kuwajengea wazazi wake weny nyumba wakaona picha wakamjia juu afute akafut ile post

Mambo yanafikirisha sana mkuu diamond anavyopenda sifa ile gari yake anaonyesha plate number(rolls Royce) japo ni muongo muongo
 
Muulize huyu mwamba!
 
Kwahyo mpka diamond unaamini ile rolls Royce sio yake?
 
Kwenye kuficha plate number ni maamuz ya mtu mkuu, hauwezi jua sababu ya yeye kuficha!!

Diamond hata akimiliki ndege me sina shida nae maana mihangaiko yake inaonekana ila huyu dogo elikanafx kuna picha kapost 2017 choka mbaya leo et ana hisa allys star et ana bus zake kama 5 pale ally's, ila umefafanua vizur nimegundua fx ni utapeli tu
 
Diamond ni yake si unaona plate number hafichi [emoji1787][emoji1787]hapo ndo tunaamini

Ila hawa wa forex janja sana
Yule ana pesa kwasasa , mtu ana share wasafi media, wasaf bet ni balozi wa kampun kubwa kama peps bado muziki wake
 
🤣🤣🤣Naona kufake sawa na kujiumiza mwenyewe tu sioni sababu wao kujipa maproud sana

Ila kipande wa biashara iyo ni promotion kwa sababu inavuta wateja wa training
 
Za kuambiwa changanya na za kwako, basi sio baiskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…