lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Uliona wapi ? Unajua hizo fake account zinatengenezwa?Niliona withdrawal deposit na acc type demo uwezi withdrawal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliona wapi ? Unajua hizo fake account zinatengenezwa?Niliona withdrawal deposit na acc type demo uwezi withdrawal
Alafu hata zile live cent account zinasoma real account.Uliona wapi ? Unajua hizo fake account zinatengenezwa?
Yes Kuna broker cent account anazipa live accountAlafu hata zile live cent account zinasoma real account.
Ofcourse kwenye forex umafia ni mwingi sababu broker hadi mentor wanakutamani wakukule.
Elezea kidogo mkuu, hatua za kuijifundishaForex Ukituliza Akili Unapiga Hela Vzuri. Kunaa muda hua nikipata Kahela Ambacho naona hata ikipotea Fresh. Hua naingia Forex, ikinipiga hua naumia. Lakini ukipiga Hela Yake ni Tamu Sana. Unapambana Una Double Account. Alafu unaanza Kula Hela Pole Pole. Tamaa, Discipline na mitaji midogo hua vinawatoa Watu kwenye Reli. Pia Mitaji Midogo Forex Inahitaji utulivu na Akili Mingi. Nimejifunza Miaka Mitatu. Nilichogundua kupigwa hakukwepeki lakin unapunguza Tuu makali ya Kupigwa. Alafu unawapiga Zaidi. Kama umefika hatua ya Kua profitable Trader Forex. Hyo ni Kama kusoma Degree Kabisa. Mimi Sifundishi Forex, Wala Kufanya Management ya Fedha za Mtu Yoyote. Kama unataka Kujifunza Forex sio lazima Seminars Internet is Full of Everything Jifunze Pole Pole. Nawatakia Week Njema.
Kujifunza unaweza anza kusoma soma mwenyewe vitu vyepesi YouTube ujue japo theory eg: what is pip , leverage, margin lot size ili upate mwanga kisha unaweza kujiendeleza kwa kusoma strategy ambazo zitakua nzur kwa Risk managementElezea kidogo mkuu, hatua za kuijifundisha
Wabongo walivyo wavivu wa kusoma na kupractice ni ngumu sana kutoboa fx. Ndio maana wanakimbilia kwa wauza kozi za forex za wiki moja na mamentor uchwara wapigaji. Hapo lazima huyo mwanafunzi wa fx arudi hapa jf kuuliza kama kuna watu wanapiga hela kweli kwenye fx baada ya kuwa amechezea kichapo kitakatifu wakati mwalimu wa fx alimwambia fx fedha kibao unadownload tu. ELIMU ELIMU ELIMU iwe fx hata kilimo. Elimu siyo lzaima ukae darasani ufundishwe na mwalimu.Kujifunza unaweza anza kusoma soma mwenyewe vitu vyepesi YouTube ujue japo theory eg: what is pip , leverage, margin lot size ili upate mwanga kisha unaweza kujiendeleza kwa kusoma strategy ambazo zitakua nzur kwa Risk management
Niunganishe nao hao watu mzeeForex ni jambo la kweli na wala sio mchongo.
Wapo watu kibao nawafahamu wamepanga kwenye yale maghorofa posta/Samora/ohio tena floor za juu tu ,wakiwa wanafanya hizo hizo issue za forex.
Mtu anaamka asubuhi kutoka nyumbani anaingia town anaenda ofisini kwake kutwa anafanya hiyo hiyo forex.
Ila sijawahi ona kokote wakijitangaza.. they got money from forex.
Sema wapo wajanja wengi mno wanawaibia watu kupitia hiyo forex ila ni real business,nimeshuhudia kwa macho yangu.
Kubwa la matapeli na suti zake za mchongoMuulize huyu mwamba!View attachment 2110285
Hiyo kitu haina tofauti na betting unapewa vi-odds 1.10,1.20.....unaliwa tu500$ mtaji then 20$ daily *250 days = 5000$ kwa miezi 11, stick ktk hapo lots size isizidi 0.10 kwa siku ,drawdown zikifululiza kwa siku mbili pumzika siku kadhaa bila kutrade, ongeza account ingine ya pembeni kwa ajili ya mambo mengine, Nidhamu,subira,plan, account ikifika 5000$ na jinsi ulivyojijengea consistency hakika unafika mbali,
Kila trader succesfull story yake inamachozi ndani yake ,hao wakina elikana clinton walianza kugrow taratibu then ndo wakajilipua ila akiwa anajua anachokifanya, ila wengine ambao wamestuck ni wale ambao mtaji mdogo na bado wanajilipua wanataka kuskip process ya kugrow
Mkuu adhma yangu nikupe like 100 sasa naona inakubali moja tu,.... nidai 99.Wakati nasoma Economics Masters hasa somo linaitwa Econometrics tulisoma deep Sana hasa In MATHEMATICS kufanya prediction ya haya Mambo .. Graph Ni kitu Cha mwisho kabisa kinakuja after mathematics computation,theory and statistics ....lakin Sasa huku watu wako busy kuangalia graph tu pasipo kuangalia in numbers behaviour mbali mbali za kihesabu..sishangai Sana watu kupoteza coz wanaangalia juu juu Sanaaaa..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimesoma comments nyingi na mawazo meng ya watu kuhusu FX sehem mbali wengi wameshindwa kufafanua ila ww naona umeandika kitu kidogo sana ambacho ni cha msingi sana.Wakati nasoma Economics Masters hasa somo linaitwa Econometrics tulisoma deep Sana hasa In MATHEMATICS kufanya prediction ya haya Mambo .. Graph Ni kitu Cha mwisho kabisa kinakuja after mathematics computation,theory and statistics ....lakin Sasa huku watu wako busy kuangalia graph tu pasipo kuangalia in numbers behaviour mbali mbali za kihesabu..sishangai Sana watu kupoteza coz wanaangalia juu juu Sanaaaa..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app