Unadanganywa wewe tuliokuwa kwenye game tuliacha tuliona kubwa motivational speakers ,kuuza signal na kufundisha watu ni kujichoresha zunguka dunia nzima fuatilia forex ya online ni tofauti na unavyoambia wala haununui na kuuza wewe unafuata price predictionUjasoma forex wewe, forex investment na sio betting
Na hao wanaopiga pesa walishajitoa kuweka maisha yao kwenye forex kwa kufundisha wengine hatuwezi na soko ni gumu