Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

Ujasoma forex wewe, forex investment na sio betting
Unadanganywa wewe tuliokuwa kwenye game tuliacha tuliona kubwa motivational speakers ,kuuza signal na kufundisha watu ni kujichoresha zunguka dunia nzima fuatilia forex ya online ni tofauti na unavyoambia wala haununui na kuuza wewe unafuata price prediction

Na hao wanaopiga pesa walishajitoa kuweka maisha yao kwenye forex kwa kufundisha wengine hatuwezi na soko ni gumu
 
Sasa hiyo forex nayo si kuotea tu... Ni kama black jack games au crash games...unacheki patterns zinavyokwenda then unaweka mzigo. Ni mifumo inayoweza kukupa pesa nyingi within a second na inaweza kukufanya masikini within a second
hii kitu ni tofauti sana kama umeifanya kwa msingi mzuri huwezi kuandika hayo lakini kaa hujawahi basi unatoa uzoefu ambao hauna kiufupi una kitu usichokijua nikiimanisha unabwatuka
 
hii kitu ni tofauti sana kama umeifanya kwa msingi mzuri huwezi kuandika hayo lakini kaa hujawahi basi unatoa uzoefu ambao hauna kiufupi una kitu usichokijua nikiimanisha unabwatuka
Umeshachoma account mara ngapi? Na ushadownload pesa mara ngapi?
 
Unadanganywa wewe tuliokuwa kwenye game tuliacha tuliona kubwa motivational speakers ,kuuza signal na kufundisha watu ni kujichoresha zunguka dunia nzima fuatilia forex ya online ni tofauti na unavyoambia wala haununui na kuuza wewe unafuata price prediction

Na hao wanaopiga pesa walishajitoa kuweka maisha yao kwenye forex kwa kufundisha wengine hatuwezi na soko ni gumu
Ndio maana nakwambia hujasoma forex ,uliona wapi mwalimu hada wa forex akawa na Chanel YouTube , Twitter, telegram n.k huyo anawafanya watu wanaotaka kusoma ndio fursa sio soko ndio fursa . Trader wa kweli hawez kua na Chanel YouTube kupiga debe watu wasome
 
1. Wale mabilionea wa QNet je ! wapo wapi?

2. Walevwauza madawa mabilionea wa forever living nao wako wapi?
 
Umeshachoma account mara ngapi? Na ushadownload pesa mara ngapi?
Kuchoma account isikutishe kwa kawaida kwa kila trader Ila inategemea ulichomaje .Kama umesoma ukajua ukichoma bc sababu kuu tamaa tu na unajua Ila uzur unauwezo wa kudiposit tena na ukarudisha zote .sasa Kama mbumbumbu hapo ndio utasikia foreksi betting [emoji16][emoji16]
 
Unadanganywa wewe tuliokuwa kwenye game tuliacha tuliona kubwa motivational speakers ,kuuza signal na kufundisha watu ni kujichoresha zunguka dunia nzima fuatilia forex ya online ni tofauti na unavyoambia wala haununui na kuuza wewe unafuata price prediction

Na hao wanaopiga pesa walishajitoa kuweka maisha yao kwenye forex kwa kufundisha wengine hatuwezi na soko ni gumu
Ushawahi kuona Mwalimu unambembeleza wewe akufundishe kwa pesa yako?. Sasa walimu aina hiyo huwez wakuta YouTube ,
 
Mpaka ukamjua ni promo wengi wanajifungia kula pips
Forex ngumu hasa Ila ukisoma powerful strategy ukafanya mazoezi ,ukawa na displin riskmanagement ukasimamia plan yako bc mbona utokaa humu JF kuuliza Nina milion 3 nifanye biashara gani na tena hiyo 3 ni nyingi sana Kati ya hiyo unaweza kutumia 1 tu ukaish vizur. NB ila uwe tayar upo vizur umesoma vitu vinavyoeleweka sio kuchora mstar ikivuka juu umenunua ikivuka chini unauza hiyo ndio betting Benk hawatoangalia mstari wako
 
Misukule ya ONTARIO aka jeff denis... Yaani jamaa alinichekesha sana kumuona kamfuata (kamlipa) mwijaku ili ampe connection akitane na Fred vunja bei ..ainadi kampuni yake ya kitapeli kuhusiana na masuala ya forex n cypto currency....

Yaani jamaa na visuti vyake uchwara na magari ya kukodisha plus picha zake kwenye mahoteli wajinga wanamiminika tu kwake mwisho wa siku akishapiga pesa za trainning n the so called signals, anahepa.
 
Forex ngumu hasa Ila ukisoma powerful strategy ukafanya mazoezi ,ukawa na displin riskmanagement ukasimamia plan yako bc mbona utokaa humu JF kuuliza Nina milion 3 nifanye biashara gani na tena hiyo 3 ni nyingi sana Kati ya hiyo unaweza kutumia 1 tu ukaish vizur. NB ila uwe tayar upo vizur umesoma vitu vinavyoeleweka sio kuchora mstar ikivuka juu umenunua ikivuka chini unauza hiyo ndio betting Benk hawatoangalia mstari wako
Unaishi kwa kudownload pesa tu..pathetic

Hiyo haina tofauti na strategies za roulette, black jack or any other casino games. Mwisho wa siki unapigwa tu. Unapigwa dola 1000...next time unasema umejofinza ukiingia unapata 20 dollars then next time unalambwa tena 1000 usd
 
Ahaa kumbe ! Nilikua sjui leo ndio umenifumbua macho basi sawa[emoji16][emoji16]
 
Only technical is everything, labda Kama unatumia trend line ndio shida
You can't be consistency by depending only technicals, fundamental is the "why" of the market direction. Ingekua hivo majority wasingekua wanaloose hvo kwa kushindwa kufuata pattern huku mkifumbwa macho na kigezo eti cha psychology mara mindset. Cku ukija kuamka usingizin utaelewa nini nakiongea, I was like you. Achana na fundamentals mnazopigwa Giza za kwenye vile viapp
 
Ukweli sijasoma fundamental hata chembe ila napenda kutrade news tena hasa soko liwe na nguvu mda wa news na napata sneiper Entry kupitia technical tu , siku zote news sinaheshimu MS so ukiwa vizur kwenye technical basi news zinakuja kukamilisha movement tu ukiona umekosa basi ulikosea kwenye technical analysis,mi news niaiyo trade moja tu ,ambayo NFP lakin zote naweza trade kwa technical tu .sio Kama fundamental siamin laa Ila hao walimu wa fundamental kuwapata mashaka bora kusimamia kitu chako tu
 
Na ndo matrader wengi wanafikiri ile release time ndo muda wa kutrade news nop pale unakua unafanya gambling, wait read a report kwenye web husika eg BoJ web then reaction ya upande halisi itaanza baada ya soko kutulia na sio lazma movement ianze cku hiyo. Mara nyingi movement kubwa zinasababishwa na news related to monetary policy ya nchi husika hasa ikitokea currencies ktk pair zikiwa against basi movt itakua kubwa sana. Mfano ktk pair MP ya currency moja iwe contactionary wakati currency nyingine expansionary movt itakua upande m1 for along time. Apart from monetary policies news and speech, taarifa zingine muhim na common kwa pair zote ni Inflation (CPI, PPI and PCE), GDPs, Employment issues. Ukija kwenye specific currency ingia web za central banks zao mf. BoJ, BoE, Fed, n.k huko unakuta releases nyingi znazoaffect currency flan that's why hua kuna muda unaona pair kadhaa zinazoinvolve currency flan unakuta zina move saana kwa masaa kadhaa au cku kadhaa
 
Mfano BoJ week inayoanza kunakua na fundamentals. Kujua ipi inamovent kubwa na ipi haina impact you need to do backrests kwa muda flan nyuma mfano 2years na uzuri kwenye kila release Kuna previous zake kwa miaka ya nyuma. Vivyo hivo ukienda kwenye central banks zingine. Forex need deep research co kuridhika mliyoachiwa open, that's why most loose.
Screenshot_20220220-150110.jpeg
 
Mfano kwa BOE next weeks hzo. NB ukiona pair haimove just consolidating jua no fundamental yenye impact ktk currencies znazounda hyo pair
Screenshot_20220220-151754.jpeg
 
Ushawahi kuona Mwalimu unambembeleza wewe akufundishe kwa pesa yako?. Sasa walimu aina hiyo huwez wakuta

Ushawahi kuona Mwalimu unambembeleza wewe akufundishe kwa pesa yako?. Sasa walimu aina hiyo huwez wakuta YouTube ,
sisi retail traders tunadili na forex market for speculatives ama predictions purposes tu, hautuexchange pesa zozote, hatuko kwenye interbank market kama wengi wanavyofahamu. na hata hao mabanks licha ya kutumia interbank networks, wanafanya transcations za mahela kwa lengo la speculations asilimia 70% na 30% ndio wanatumia kwa ajili ya internation trade either kununua bidhaa nje n.k, wanaweza kununua eurs abroad ila wasizifanyie kazi yoyote wanachofanya wanaziholds tu zipande thamani then wanaziuza baadae kupitia huo mtandao. so sisi tunatumia server kupitia kwa mabroker kupredict future price movement, hizo margin,lot, ni namna tu ya utaratibu umeanzishwaa kuwezeshaa kufanya predictions. we huna uwezo wa kutumia huo mtandao kama mabanks.. so unautumia indirect for predictions. ngoja nikupe kitabu cha sirjeff usome utapata mwanga nini kinafanyika.
 
Attachments

Back
Top Bottom