Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Habari wakuu, nisizunguke sana nirudi kwenye mada.. naomba kufahamu hivi kuna mtu aliyefanikiwa kupitia forex unaemfahamu?
Kuna kijana mmoja anaitwa elikana, navosikia ni miongoni mwa wana hisa wa kampuni ya ma BUS ya usafirisha "ally star Bus" kpindi cha nyuma nilikua naona akihamasisha sana watu kuhusu biashara hiyo kwenye instagram yake.. ni kijana mdogo tu naskia ana Bus zake pale ally's [emoji93]
Je ni kweli hii biashara inalipa? Kuna mtu unaemfahamu alifanikiwa ktk biashara hii?
Elikana kama upo hum naomba ufafanuz je ulifanikiwa kupitia forex mpka kumilika ma BUS