Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

Kinachowacost traders wengi ni kutokua na knowledge ya finance na economics. Uelekeo wa soko unaamuliwa na fundamentals zinasuggest vipi? Technical inakuonyesha tabia ya price hivo inakusaidia kukupa entry price lakini wakati huo unajua uelekeo halisi. Major Fundamentals halisi utazipata kwenye websites za central banks za nchi husika wakati baadhi unazipata statistics institutions za nchi hisika mfano mfano Australia ni Australian bureau of statistics, vivyo hivyo kwa US, UK n.k.
Kwa hiyo ili uwe trader mzuri unatakiwa uwe analyst mzuri. Most retailers only relay on technicals. Nikupe mfano tu hata mfanyabiashara mzuri wa mazao hawezi akanunua tu zao flan eti tu kwa kua msimu wa mavuno umefika technically price ipo kwenye support (low price) though wengi watafanya hvo lakini kwa mfanya biashara mzuri ataenda mbali kujua ni zao lipi litakua na uhakika mkubwa wa kua adim miezi ijayo kwa kuangalia je mvua zilikuaje ili kujua zao lipi litakua adimu, hali ya mavuno ipoje ni mengi au wengi wamepigwa n.k (hizi ndo fundamentals) ko hapo anakua na uhakika tu bei lazima itapanda kwa kua supply itakua ndogo na demand itakua kubwa. Lakini aliyenunua tu bila kuangalia fundamentals unaweza ukashangaa inafika mwezi wa 12 ambao miaka mingine bei ilikua juu but mwaka huo bei ipo pale pale na zaidi kushuka chini ya bei uliyonunua. Sasa ktk financial assets kwa sababu volatility yake ni kubwa the same situation inakua na impact kubwa. Trading its a career, inahitaji muda wa kutosha (km ilivo kwa law, udaktari n.k) kupata knowledge na kupata uzoefu through a lot of practices. In short its the hardest way to get easy money. Msihangaishwe na kelele za matraders wa IG wanaovutia customers (na ndio kipato chao kufundisha), the real traders wapo low key hawana mda wa kushow off wanapata pesa through trading na co kufundisha. Ukitaka ukosane nao waombe trading history
 
Fact kabisa
 
Hili la kuwa na hisa ally's star nahis ni kweli mkuu ila huko kwenye forex ananishagaza sana
Wewe umeshakuja na majibu yako tayari, sioni mantiki ya kutaka kujiridhisha kupitia majibu ya wadau.
 
broo odds na pips ni vitu viwil tofauti, ilo zoezi ktk fx ni rahis mno,fx akil yako na nidhamu ndo vinakupa pesa, bett mpaka utabiri
Haina tofauti mkuu ni kama mtu anaecheza casino games kama roulette au spin wheel...anacheki trend then anaweka pesa ashinde au achome
 
Haina tofauti mkuu ni kama mtu anaecheza casino games kama roulette au spin wheel...anacheki trend then anaweka pesa ashinde au achome
Kwaiyo betting unaangalia trend gani na uko spin zaid ya kuotea tu, limit ya loss ipo,
 
Sasa hiyo forex nayo si kuotea tu... Ni kama black jack games au crash games...unacheki patterns zinavyokwenda then unaweka mzigo. Ni mifumo inayoweza kukupa pesa nyingi within a second na inaweza kukufanya masikini within a second
Kwaiyo betting unaangalia trend gani na uko spin zaid ya kuotea tu, limit ya loss ipo,
 
Sasa hiyo forex nayo si kuotea tu... Ni kama black jack games au crash games...unacheki patterns zinavyokwenda then unaweka mzigo. Ni mifumo inayoweza kukupa pesa nyingi within a second na inaweza kukufanya masikini within a second
kuotea njoo uotee kuotea fx n ngumu kuliko maana inaenda pande zote unaoteaje,
 
Umefanya niende kumwangalia huyo jamaa insta, kwanza naomba niulize ni msukuma jamaa? Maana wale ni watani zangu.
Cha pili mbona post zake zinaonekana obvious ni kuwarusha vijana wenzake roho, show off tu na kuwakamata kwenye hiyo fx yake maana sijaona cha maana anachopost au kuandika kinachoweza kukufunza mtu kitu tofauti na kuomba mpiga picha ampigie picha kwa mbele ya stage ya diamond platnum juzi na kuweka comment kwamba VIP 3m, kingine ni kapost mshikaji sijui driver wa IT yule au katumwa gari au kweli gari lake la BMW kwenda nalo Iringa huko kwa maoni yake.

Zaidi zaidi kupiga picha na crown athletes na kuziba namba na kuhitimisha kwa kutafuta duka la Jux na kupiga picha akishika shika viatu..

Chief tafuta hela kama huna nakuombea endelea kuzitafuta hela ukisha zipata haitakuwa ngumu kwako kutambua mtu kwamba huyu ana hela na huyu hana kitu.

Ni hayo tu.
 
Hongera kwq kusoma.master in economics.

Mathematics na computation mzee unataka gundua ROBOT au software [emoji2][emoji1787]

Price Action based on Supply and Demand ina kila kitu 99% correct .

1% when manipulation occurs.

Huwa nacheka sana nikisoma comment za humu ndani
 
Sijui lkn ally's star ni kampuni ya waarabu wa shinyanga na wana kistend chao pale shy town huwa lazima wasimame. Nadhan chimbuko lake ni mabasi ya Ally's ya miaka ya 2008 hv. Huyo elikana anaonekana wa juzi sana.
 

Mfano inshu ya russia na ukraine imeleta impact nyingi sana sokoni wiki iliyoisha na tangu inanze. Soko limekua hali move bali linategemea nyuzi ya kupanda na kushuka kwa ghafla. Wengi watakua wameumia
 
Sasa kama forex inalipa kwa nini anunue mabus?
 
Je kwa sasa unatrade forex
 
Unashabikia pumba!

Forex traders hawana muda wa kufanya hayo mahesabu ya darasani.

Kila kitu kinafanywa na software. Kazi yako trader ni kufanya analysis.

Kisha una decide ununue au uuze.
[emoji16][emoji16]ndio maana nimemuuliza haraka kwa sasa anatrade hiyo forex aliosoma kupitia mahesabu ,maana watu hatufanyi hata hesabu moja lakin tunakula mapaka FOMIC sasa kwenye forex mpaka upige hesabu c ndan kutakuwa kumechafuka makaratasi
 
Only technical is everything, labda Kama unatumia trend line ndio shida
 
Sasa hiyo forex nayo si kuotea tu... Ni kama black jack games au crash games...unacheki patterns zinavyokwenda then unaweka mzigo. Ni mifumo inayoweza kukupa pesa nyingi within a second na inaweza kukufanya masikini within a second
Ujasoma forex wewe, forex investment na sio betting
 
Mchaga huyo ni washamba eti amilili hisa za mil 100 nyumba hana hata uko kwenye mashamba ya migomba moshi sijui arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…