Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

niliwahi wachalange ma forex trader uchwara bongo wanaoshawishi watu waingie kwenye hiyo bnez wawale kwa kuwapa fake stories nyingi na fake picturea kibao na kukariri ma graph tu, econometrics is everything na sio rahisi ndio maana wengi huliwa
 
Mfano kwa BOE next weeks hzo. NB ukiona pair haimove just consolidating jua no fundamental yenye impact ktk currencies znazounda hyo pairView attachment 2124952
Bro habar ya kusoma news fulan mwaka fulan ilireact vipi cna , only market structure and Liquidity unamaliza habari za kusoma maelezo ya miaja na kila napotrade mda wa news napata good Entry MS + Liquidity inducement theory (LIT) is everything
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Yani upate mwanga kwenye fx kwa kusoma kitabu cha sir Jeff !!. Wakati ye anaingiza pesa kupitia kufundisha watu promo nyingi mitandaoni sio kupitia soko la Forex. Huyu anaetrade kutumia IG sentment [emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Pia kina kitu watu hawakijui , ili uweze kutrade forex huitajiki kusoma marundo ya vitabu cjui history ya Forex hizo zinakua mbwembwe tu havina maana yeyote sokon au linapokuja swala la practically. Unatakiwa kusoma vitu vichache tu but is very powerful .
 
Forex trading is a job not a casino,a Forex trader that approach a Forex market as a gambler or addict to money won't get a fortune.
 
nimemmpa hicho kitabu apate mwanga wa maana ya speculations tu, sio kuwa guruz wa forex mkuu.
 
Sijui lkn ally's star ni kampuni ya waarabu wa shinyanga na wana kistend chao pale shy town huwa lazima wasimame. Nadhan chimbuko lake ni mabasi ya Ally's ya miaka ya 2008 hv. Huyo elikana anaonekana wa juzi sana.
Navoskia ndo hao hao Hiyo zaman ilikua ni ally's sport bus walikua wanatumia scania hii ya sas ni mdgo wake inaitw ally's star Bus
 
Kuna sku niliona kapost akiendesha hizo bus za allys asubui saa 11 akitest sjui sasa hapa nilihis huenda ni mkurugenz wa kampun hiyo kama anavodai
 
Ninachojua kdogo wanaofanikiw katk forex huw hawajionyesh hadharan hata kdogo , ila wapo wachache sana,

Hapa kutafut kila business ina elimu yake na hata ukiw na Elimu bado utajifunz kwenye error
 
FX sio utapeli, tatizo tunataka kufundishwa kutafuta hela.
 
Ninachojua kdogo wanaofanikiw katk forex huw hawajionyesh hadharan hata kdogo , ila wapo wachache sana,

Hapa kutafut kila business ina elimu yake na hata ukiw na Elimu bado utajifunz kwenye error
Wewe umewajuaje kama hawajionyeshi
 
Wewe trader wa kweli ulimuona wapi[emoji23][emoji23][emoji23]acheni story hizo eti traders wa kweli hajioneshi kama hajioneshi we ulimuonane,we umetumia net kuon afu unaleta story za beginner humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…