Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

Wakati nasoma Economics Masters hasa somo linaitwa Econometrics tulisoma deep Sana hasa In MATHEMATICS kufanya prediction ya haya Mambo .. Graph Ni kitu Cha mwisho kabisa kinakuja after mathematics computation,theory and statistics ....lakin Sasa huku watu wako busy kuangalia graph tu pasipo kuangalia in numbers behaviour mbali mbali za kihesabu..sishangai Sana watu kupoteza coz wanaangalia juu juu Sanaaaa..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
niliwahi wachalange ma forex trader uchwara bongo wanaoshawishi watu waingie kwenye hiyo bnez wawale kwa kuwapa fake stories nyingi na fake picturea kibao na kukariri ma graph tu, econometrics is everything na sio rahisi ndio maana wengi huliwa
 
Mfano kwa BOE next weeks hzo. NB ukiona pair haimove just consolidating jua no fundamental yenye impact ktk currencies znazounda hyo pairView attachment 2124952
Bro habar ya kusoma news fulan mwaka fulan ilireact vipi cna , only market structure and Liquidity unamaliza habari za kusoma maelezo ya miaja na kila napotrade mda wa news napata good Entry MS + Liquidity inducement theory (LIT) is everything
 
sisi retail traders tunadili na forex market for speculatives ama predictions purposes tu, hautuexchange pesa zozote, hatuko kwenye interbank market kama wengi wanavyofahamu. na hata hao mabanks licha ya kutumia interbank networks, wanafanya transcations za mahela kwa lengo la speculations asilimia 70% na 30% ndio wanatumia kwa ajili ya internation trade either kununua bidhaa nje n.k, wanaweza kununua eurs abroad ila wasizifanyie kazi yoyote wanachofanya wanaziholds tu zipande thamani then wanaziuza baadae kupitia huo mtandao. so sisi tunatumia server kupitia kwa mabroker kupredict future price movement, hizo margin,lot, ni namna tu ya utaratibu umeanzishwaa kuwezeshaa kufanya predictions. we huna uwezo wa kutumia huo mtandao kama mabanks.. so unautumia indirect for predictions. ngoja nikupe kitabu cha sirjeff usome utapata mwanga nini kinafanyika.
[emoji16][emoji16][emoji16]Yani upate mwanga kwenye fx kwa kusoma kitabu cha sir Jeff !!. Wakati ye anaingiza pesa kupitia kufundisha watu promo nyingi mitandaoni sio kupitia soko la Forex. Huyu anaetrade kutumia IG sentment [emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Sijui fundamental wala cjawai soma maelezo ya Sir Jeff but this is the my trading styles
Screenshot_20220221-202601.jpg
 
Pia kina kitu watu hawakijui , ili uweze kutrade forex huitajiki kusoma marundo ya vitabu cjui history ya Forex hizo zinakua mbwembwe tu havina maana yeyote sokon au linapokuja swala la practically. Unatakiwa kusoma vitu vichache tu but is very powerful .
 
Forex trading is a job not a casino,a Forex trader that approach a Forex market as a gambler or addict to money won't get a fortune.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Yani upate mwanga kwenye fx kwa kusoma kitabu cha sir Jeff !!. Wakati ye anaingiza pesa kupitia kufundisha watu promo nyingi mitandaoni sio kupitia soko la Forex. Huyu anaetrade kutumia IG sentment [emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
nimemmpa hicho kitabu apate mwanga wa maana ya speculations tu, sio kuwa guruz wa forex mkuu.
 
Sijui lkn ally's star ni kampuni ya waarabu wa shinyanga na wana kistend chao pale shy town huwa lazima wasimame. Nadhan chimbuko lake ni mabasi ya Ally's ya miaka ya 2008 hv. Huyo elikana anaonekana wa juzi sana.
Navoskia ndo hao hao Hiyo zaman ilikua ni ally's sport bus walikua wanatumia scania hii ya sas ni mdgo wake inaitw ally's star Bus
 
Umefanya niende kumwangalia huyo jamaa insta, kwanza naomba niulize ni msukuma jamaa? Maana wale ni watani zangu.
Cha pili mbona post zake zinaonekana obvious ni kuwarusha vijana wenzake roho, show off tu na kuwakamata kwenye hiyo fx yake maana sijaona cha maana anachopost au kuandika kinachoweza kukufunza mtu kitu tofauti na kuomba mpiga picha ampigie picha kwa mbele ya stage ya diamond platnum juzi na kuweka comment kwamba VIP 3m, kingine ni kapost mshikaji sijui driver wa IT yule au katumwa gari au kweli gari lake la BMW kwenda nalo Iringa huko kwa maoni yake.

Zaidi zaidi kupiga picha na crown athletes na kuziba namba na kuhitimisha kwa kutafuta duka la Jux na kupiga picha akishika shika viatu..

Chief tafuta hela kama huna nakuombea endelea kuzitafuta hela ukisha zipata haitakuwa ngumu kwako kutambua mtu kwamba huyu ana hela na huyu hana kitu.

Ni hayo tu.
Kuna sku niliona kapost akiendesha hizo bus za allys asubui saa 11 akitest sjui sasa hapa nilihis huenda ni mkurugenz wa kampun hiyo kama anavodai
 
Ninachojua kdogo wanaofanikiw katk forex huw hawajionyesh hadharan hata kdogo , ila wapo wachache sana,

Hapa kutafut kila business ina elimu yake na hata ukiw na Elimu bado utajifunz kwenye error
 
Kwenye kuficha plate number ni maamuz ya mtu mkuu, hauwezi jua sababu ya yeye kuficha!!

Diamond hata akimiliki ndege me sina shida nae maana mihangaiko yake inaonekana ila huyu dogo elikanafx kuna picha kapost 2017 choka mbaya leo et ana hisa allys star et ana bus zake kama 5 pale ally's, ila umefafanua vizur nimegundua fx ni utapeli tu
FX sio utapeli, tatizo tunataka kufundishwa kutafuta hela.
 
Ninachojua kdogo wanaofanikiw katk forex huw hawajionyesh hadharan hata kdogo , ila wapo wachache sana,

Hapa kutafut kila business ina elimu yake na hata ukiw na Elimu bado utajifunz kwenye error
Wewe umewajuaje kama hawajionyeshi
 
Ndio maana nakwambia hujasoma forex ,uliona wapi mwalimu hada wa forex akawa na Chanel YouTube , Twitter, telegram n.k huyo anawafanya watu wanaotaka kusoma ndio fursa sio soko ndio fursa . Trader wa kweli hawez kua na Chanel YouTube kupiga debe watu wasome
Wewe trader wa kweli ulimuona wapi[emoji23][emoji23][emoji23]acheni story hizo eti traders wa kweli hajioneshi kama hajioneshi we ulimuonane,we umetumia net kuon afu unaleta story za beginner humu
 
Back
Top Bottom